Mpendwa rafiki, Kuna watu hawajawahi kuishi maisha yao tokea Mungu aumbe hii dunia. Wamekuwa wakiishi maisha ya shida na ya utumwa kwa ajili ya kuwafurahisha watu wasiojali. Watu wanaogopa watu wanajitahidi kuishi kadiri ya watu wanavyotaka lakini siyo kadiri yao wao wanavyotaka na utakuta muda mwingine wanalalamika kabisa juu ya hayo maisha lakini hawachukui hatua …
Continue reading “Swali Muhimu sana La Kujiuliza Kabla Hujaanza Kuwaogopa Watu”