Kama kila mtu angechukua hatua ya kile anachotaka basi leo hii kila mtu angeweza kutimiza ndoto zake. Lakini mambo ndiyo yako tofauti tena, watu hawako tayari kuchukua hatua hata kama ni kitu muhimu kwao. Ni nani hajui kama akichukua hatua atakua atakuwa mbali sana?Hebu fikiria ni mambo mangapi umeyaahirisha kufanya ndani ya mwaka huu? Vipi …
Continue reading “Hiki Ndicho Unachokosa Pale Ambapo Huchukui Hatua”