Tukiachana na hewa tunayovuta basi kitu cha pili kwa umuhimu ni fedha. Huwa ninakuandikia hili mara nyingi lakini leo narudia tena kwa sababu ni muhimu mno. Nikiwa nitapata kipato hiki kwa mwezi, maisha yangu yatakuwa mazuri sana. Ni kauli za watu wengi ambao wana kiu ya kupata kipato kikubwa. Wako ambao wanafikiri kuwa ukishakuwa na …
Continue reading “Kadiri Unavyopata Fedha Zaidi Kuwa Makini Na Hiki”