Ukiwa unataka kufanikiwa kitu, utafanikiwa kama kweli umejitoa na kuwa king'ang'anizi bila kujali ukinzani wowote ule. Fuata nia yako ya ndani na hakuna kitakachokuzuia. Dunia itakupisha kama kweli na wewe umejitoa. Hujawahi kuona unawaza kitu fulani halafu unashangaa unakutanishwa na mazingira ya kitu hicho? Au unamfikiria mtu halafu unashangaa anakupigia simu au anakutembelea. Ndani yetu …
Kauli Unayopaswa Kujiambia Pale Unapokutana Na Changamoto
Kwenye maisha mara nyingi vitu vingi huwa hatuvipati kwa urahisi. Huwa tunavipata kwa ung'ang'anizi mkubwa. Hakuna mtu ambaye anaweza kukupa ushindi kirahisi, asili huwa ina tabia ya kumpima mtu ili kuona amejitoaje kwenye kile anachofanya. Ukikutana na ukinzani wowote ule kwenye maisha yako, unapaswa kujiambia,Nina ung'ang'anizi mkubwa kuliko ukinzani wako. Mtu anakupa ukinzani wowote ule, …
Continue reading "Kauli Unayopaswa Kujiambia Pale Unapokutana Na Changamoto"
Usiongeze Chumvi
Kwenye mchakato wa mauzo , unaweza ukasema ni bora uongeze chumvi kidogo ili uweze kumnasa mteja.Kuongeza chumvi yaani kusema maelezo ambayo hata hayapo ni njia rahisi kabisa ya kumfukuza mteja kirahisi. Ongea ukweli, hata kama upande wa pili hawajui wewe ukishajua nao watakuja kujua. Kuongeza chumvi, kutakupotezea wateja wako wote na mtu akigundua kwamba uliongeza …
Jinsi Ya Kukabiliana Na Mteja Mjuaji
Kwenye mchezo wa mauzo huwa tunakutana na wateja wengi, kazi yako kubwa kama mtu wa mauzo ni kuweza kukamilisha mauzo. Haijalishi umepiga chenga nyingi kiasi gani kama hujakamilisha mauzo unakua huna ulichofanya. Kwa nini tunasisitiza zaidi mauzo kwa sababu mauzo ndiyo moyo wa na fedha ndiyo damu ya biashara. Kama mtu hana moyo wala damu …
Hii Ndiyo Huduma Unayopaswa Kumpa Mteja Wako
Kipimo kizuri cha huduma bora kwa mteja ni kujipima kwa sentensi hii"Mara zote nitampa mteja huduma ambayo mimi mwenyewe ningejipa kama ningekuwa mteja huyo" Kuna wakati tunawahudumia wateja wetu lakini hatuwapatii huduma bora. Na watu wengi hawatoi huduma bora ndiyo maana hawafanikiwi. Watu wanaangalia wanapataje fedha kabla hawajaangalia wanasaidiaje kwa kutoa huduma bora. Mafanikio yoyote …
Continue reading "Hii Ndiyo Huduma Unayopaswa Kumpa Mteja Wako"
Usikatae Uhalisia
Magonjwa mengi ya akili yanasababishwa na mtu ambaye anakataa ukweli au uhalisia.Usibishane na uhalisia hata siku moja. Pokea uhalisia kama ulivyo na ishi nao. Unapokataa yale ambayo yanakukuta unakuwa unajiandaa kupata magonjwa ya akili. Unakataa kuachwa, unakataa mtu kufa, unakataa kufungwa, na mengine mengi yanayofanana na hayo. Jambo likitokea, lipokee kama kilivyo na jifunze namna …
Kama Ameshindwa Kujihurumia Je, Wewe Utaweza?
Siku zote upendo huwa unaanza na mtu kujipenda kwanza yeye mwenyewe. Kama mtu yeye mwenyewe hajipendi unafikiri wewe ndiyo utaweza kufanya hivyo? Kama mtu hajihurumii yeye mwenyewe, je, wewe utaweza kumhurumia? Kwenye maisha huwezi kumzuia mtu anayetaka kujiua, mtu kama ameamua kujiua atajiua hata ufanye nini. Hii ina maana kwamba, nguvu ya ndani ya mtu …
Continue reading "Kama Ameshindwa Kujihurumia Je, Wewe Utaweza?"
Usiwe Na Wasiwasi
Akili huwa haifanyi kazi pale hisia zinapokuwa juu na fikra zinapokuwa chini. Fikra zinapokuwa chini, mtu anakuwa anafanya maamuzi ya ajabu na baadaye kuja kujutia. Ndiyo maana, haishauriwi kabisa kufanya maamuzi ukiwa na hisia. Jicheleweshe kufanya maamuzi mpaka pale hisia zinapokuwa chini au zimeisha. Ukiwa na changamoto yoyote ile wala usiwe na wasiwasi, tulia kwani …
Ondoka Kwenye Vikundi Hasi
Ni kawaida yetu sisi binadamu kupenda kuonekana kuwa ndani ya kundi fulani. Tunapokuwa ndani ya kundi huwa tunajisikia vizuri, pale tusipokuwa ndani ya kundi huwa tunaona kama vile tumepotea. Swali muhimu la kujiuliza uko kwenye kundi gani? Kama uko kwenye kundi lolote ambalo halina manufaa kwako, ni kundi hasi badala ya kujadili mambo chanya yanayojenga, …
Changamoto Moja Kwenye Kujifunza
Aliyekuwa baba wa falsafa Mwanafalsafa Socrates aliwahi kunukuliwa akisema hekima pekee ambayo ninayo, ni kwamba sijui kitu. Wakati huo Mwanafalsafa Socrates ndiyo mtu ambaye alikuwa anaonekana anajua sana lakini watu wakimuuliza anasema anachojua ni kwamba hajui kitu. Hii ina maana gani kwetu? Ni kujishusha na kuwa mnyenyekevu na kuwa tayari kutaka kujifunza tena. Sina uhakika …