Sababu za sisi kufanikiwa ziko nyingi sana. Na iko sababu moja ambayo inatufanya tuendelee kupata ushindi kamili. Kwenye maisha yako, kama ukikosa UJASIRI huwezi kupata kile unachotaka. Mwanafalsa Aristotle aliwahi kunukuliwa akisema, kamwe huwezi kufanya kitu chochote kwenye hii dunia kama huna ujasiri. Maisha yako yanabadilika au kutokubadilika kwa sababu moja tu ambayo ni ujasiri …
Continue reading "Bila Kitu Hiki Huwezi Kufanya Makubwa Kwenye Maisha Yako"