Kuna Wakati Kitamfikia

Tunapaswa kuwa makini sana na yale tunayoyaongea kwa wengine kwa sababu, hata kama tunafanya siri, jua kuna wakati kitamfikia na hilo litaharibu mahusiano yenu. Uaminifu kwa wengine ni muhimu sana. Waheshimu na kuwaamini wengine, hata kama hawapo pale ulipo. Usimseme mtu vibaya ambaye hayupo, usishiriki maongezi ya kuwateta watu ambao hawapo. Na wakati wowote unapokutana …

Kanuni Ya Dhahabu

Tunapaswa kujua kuwa binadamu sisi ni watu wa maslahi.Sisi ni wabinafsi. Kabla hatujafanya jambo, huwa tunaangalia kwanza sisi tunapata nini ndiyo tufanye. Kumbe basi, watu wanafanya pale wanapoona kuna maslahi binafsi wanayoyapata. Kanuni ya dhahabu inadai usawa. Inasema hivi, wafanyie wengine kile ambacho unapenda wakufanyie wewe. Kwa nini?kwa sababu kile unachowafanyia wengine, kwa hakika hicho …

Watu Watakuunga Mkono

Ni kawaida ya binadamu, pale ambapo bado hujaanza kufanya kitu, unakuwa na wasiwasi fulani. Je, vipi kama nikifanya na kukutana na changamoto itakuwaje?Usiwe na wasiwasi rafiki yangu, utapata watu ambao watakusaidia kukuunga mkono kwenye kile unachofanya. Kabla ya kuanza kitu, unaweza kujiona kama vile uko mwenyewe. Lakini, ukishaanza, wale wenye mapenzi ya dhati wataungana na …

Kinachokukwamisha Kwenye Maisha Yako

Kama hauendi mbele, basi jua unarudi nyuma. Na kama haurudi nyuma basi jua unaenda mbele. Kwa sababu kwenye maisha hakuna kusimama. Ni aidha unaenda mbele au unarudi nyuma. Ukijaribu kuchunguza kinachokurudisha nyuma au kukupeleka mbele ni kitu kimoja tu. Nacho ni kufanya maamuzi. Uko hapo ulipo kwa sababu ya maamuzi uliyofanya huko nyuma.Kila kitu kwenye …

Siyo Jukumu Lako

Kwenye maisha watu huwa wanakutana na mengi. Na maisha ni shule.Na changamoto ndiyo mitihani yenyewe kwenye shule.Huwezi kwenda darasa moja zaidi bila kuvuka hili ulilokuwa nalo sasa. Maisha ni mtihani. Ukiwa na kitu mtihani na usipokuwa na kitu mtihani. Unapaswa kuwa makini kwa sababu, kuna tabia za watu huwa wanapenda kufanya majukumu yao, siyo yao …

Tafuta Namna Ya Kuanza

Ukiwa unataka kufanya kitu, usifikirie ni namna gani utaweza kukifanya kitu hicho. Kwa sababu, utatumia muda mwingi kufikiria. Hivyo basi, badala ya kufikiria sana, wewe tafuta namna ya kuanza kitu hicho mara moja.Kwa mfano, ukifikiria kusoma kitabu fulani, utaweza hata kuahirisha kusoma. Lakini ukianza kusoma KURASA moja, ni rahisi kusoma nyingine ya pili. Ushindi uko …

Kitu Ambacho Watu Huwa Hawaishiwi

Kadiri unavyohusiana na watu ndivyo unavyoweza kujifunza mengi. Tokea dunia iwepo, vitu vingi sana vimebadilika lakini binadamu bado hajabadilika. Tabia za binadamu bado ni zile zile.Mtu akitaka kufanya kitu, anafanya. Mtu kama hataki kufanya kitu hafanyi. Na watu ambao hawataki kufanya kitu, ndiyo watoa sababu kwa nini wasifanye. Kitu ambacho watu hawajaishiwa kwenye maisha yao …

Mafanikio Ya Kweli Yanatoka Hapa

Mwanamafanikio, Mafanikio ya kweli ni maelewano ya nguzo tano za maisha. Ili kuwa na mafanikio ya kweli kwenye maisha, lazima kuwe na maelewano kwenye nguzo hizi kuu tano kwenye maisha yako. Nguzo hizo tano ni, fedha, mahusiano, akili, mwili na roho. Maelewano haya ndiyo yanafanya maisha yaweze kwenda kwa pamoja na hata kupiga hatua. Kwa …

Dunia Inakufikiria Wewe Kwenye Nini?

Kwenye maisha wale wanaofanikiwa sana, ni wale watu ambao wanategemewa.Kama hutegemewi na watu wengi maana yake hata mafanikio yako yatakuwa ni madogo. Ili dunia iweze kukukufikiria wewe kwenye kitu fulani lazima uwe ni mtu wa kutegemewa.Na ili dunia ikutegemee, kwanza unapaswa kuwa mtu wa kuaminika. Dunia huwa inafanya kazi na watu wanaoaminika kwenye kile wanachofanya …

Jiulize Unalipaje Kwenye Kila Bure

Ukichunguza kila bure siyo bure kweli. Kwa sababu vitu vingi ambavyo huwa tunapewa bure, siyo bure kwa namna yoyote ile. Bure huwa inatumika kama chambo ili wahusika waweze kukusogeza kwenye kile wanachotaka. Siyo mara yako ya kwanza wewe kuna kwenye bure na baadaye ukajikuta unaingia kwenye gharama kubwa. Bure inakuzuia wewe kupata kile unachotaka. Kwa …

Design a site like this with WordPress.com
Get started