Watu wengi wanafikiria ushindi kama jambo kubwa sana—pesa nyingi, mafanikio makubwa, heshima ya juu, au mabadiliko ya ghafla. Lakini ukweli ni huu:maisha hubadilishwa na ushindi mdogo mdogo unaopatikana kila siku. Tatizo siyo kukosa uwezo wa kushinda,tatizo ni kudharau ushindi mdogo. Kwa nini watu hukata tamaa mapema? Kwa sababu wanatafuta ushindi mkubwa kabla ya kushinda leo. …
Continue reading "January 14: Ushindi Mdogo wa Kila Siku na Nguvu Yake"