🔥 JUNE 10 Kuna adui mmoja ambaye hana silaha. Haonekani. Hasikiki. Hapigi kelele. Lakini kila siku anaiba maisha ya mamilioni ya watu. Adui huyo anaitwa: KUAHIRISHA MAMBO (Procrastination) Ukweli Muhimu Sana Watu wengi hawashindwi kwa sababu hawana uwezo. Hawashindwi kwa sababu hawana maarifa. Hawashindwi kwa sababu hawana fursa. 👉 Wanashindwa kwa sababu wanaendelea kuahirisha kile …
Continue reading "Adui Hatari Anayeiba Maisha ya Watu Bila Wao Kugundua"