Tokea uje duniani ulishawahi kuona mtu anapata tuzo ya kuwa mlalamikaji bora? Kuna namna fulani maisha yako hayaendi vile unavyotaka na unaona kila sababu ya kulalamika. Na habari njema ni kwamba, ukiwatafuta watu wa kuwalaumu kwa sababu ya maisha yako kuwa hivyo ulivyo leo, huwezi kukosa wako wengi tu. Swali la kujiuliza, nini haswa unapata …
Jinsi Ya Kushika Vitu Vingi Kichwani Na Kuvikumbuka
Changamoto mojawapo inayowasumbua watu wengi kwa sasa ni watu kukosa utulivu na hivyo kushindwa kushika vitu na matokeo yake kukosa kukumbuka vitu. Hata ukiangalia shuleni kwa sasa, watoto wengi wana changamoto ya kushika vitu na uwezo wa kutunza kumbukumbu. Iko njia nzuri ya kuweza kutatua changamoto hiyo nayo ni kurudia kitu unachotaka kikae kichwani na …
Continue reading "Jinsi Ya Kushika Vitu Vingi Kichwani Na Kuvikumbuka"
Ombeni Nanyi Mtapewa
Kwenye dunia hii, ukishindwa kwa sababu ya kukosa msaada ni kama vile kufa na kiu huku ukiwa kisimani.Pale unapoona mwenzako yuko bora kwenye kitu fulani, omba msaada akusaidie na wewe kuwa bora kama yeye. Kila kitu kinawezekana kama ukiiomba dunia. Usipoomba hupati.Wewe hujiulizi kwa nini Mungu alisema ombeni nanyi mtapewa? Iko wazi, hata wewe mwenyewe …
Kuwa Na Dhana Ya Ushindi Ndani Yako
Rafiki, Kiasili sisi binadamu ni watu wa mashindano. Kwa mfano, ukiwa unatembea au unaendesha gari, mtu akija kukupita utajikuta na wewe unaongeza mwendo ili mtu asikupite. Ushindani ndiyo asili ya binadamu. Ndiyo maana tuna ushindani kwenye kila eneo la maisha yetu. Ushindani ndiyo hali ambayo inawafanya watu wajitume na hata wengine kupata ridhiko ndani yao. …
Usiwe Na Hasira Na Hawa Watu
Kwenye haya maisha ukiwa mtu wa hasira, basi kila wakati utakuwa ni mtu wa kukasirika na hutaweza kuelewana na mtu.Kila mtu utamwona mbaya kwa sababu ya kushindwa kuendana na wewe. Tunapatwa na hasira pale ambapo sisi tunakuwa tunapata matokeo tusiyotarajia kutoka wengine. Lakini tukipata matokeo ambayo tunayotaka sisi wenyewe tunakua hatuna hasira. Hasira ni hisia …
Kitakachokufanya Ufanikiwe Ni Hiki Hapa
Waswahili wanasema hiyari ya SHINDA utumwa. Kama mtu akiwa anafanya mambo yake bila kuambiwa au kukumbushwa huwa inapunguza utumwa. Ukifanya bila kuambiwa hutaona kama ni utumwa lakini ukifanya mpaka uambiwe utaona ni utumwa. Wote tunajua kwamba, mafanikio siyo kitu rahisi kwenye maisha yetu. Ili ufanikiwe kwenye jambo lolote lile, inahitaji kazi kubwa. Mafanikio hayahitajiki mtu …
Kinachotoa Mrejesho
Rafiki, Unaweza ukajiandaa vizuri sana na muda mwingine ukajiona uko bora kabisa. Umezalisha bidhaa yako na ukawa unajiamini kwamba utakwenda kuuza lakini mambo yasiende tofauti. Unaweza kuandaa na kutoa thamani, lakini soko ndiyo linaamua na kutoa mrejesho juu ya thamani yetu. Unaweza ukajiandaa vizuri na mchezo lakini asili ikaamua tofauti na mipango yako. Kinachotoa mrejesho …
Unaingia Gharama Kwa Kufanya Hivi
Unaingia gharama kwa kutokufanya maamuzi. Kwa mfano, kama kuna kitu unataka kukifanya na hukifanyi tayari unakuwa unalipia gharama kwa sababu ya kutokufanya maamuzi. Kama kuna gharama unapaswa kulipa na hulipi jua tayari unalipa gharama hiyo bila wewe mwenyewe kujua. Hutakiwi kukwepa kitu, kama unapaswa kufanya, fanya tu kwa sababu hakuna namna unavyoweza kukwepa. Leo kaa …
Utalivuka Daraja Pale Utakapolikuta
Watu huwa wanateseka na mambo yajayo kiasi kwamba wanashindwa hata kufanya yale wanayopaswa kufanya sasa.Kitendo cha kufikiria kesho itakuwaje, inachosha zaidi kwa sababu hakuna mtu ambaye ana uhakika wa kesho. Huwa tuna mambo mengi ambayo yanatusumbua lakini hatupaswi kuyapa uzito sana hayo mambo kiasi kwamba yatuvuruge kufanya yale tunayopaswa kufanya sasa. Najua una mambo mengi …
Hii Ndiyo Injini Ya Biashara Na Viwanda
Rafiki, Mauzo ndiyo injini ya mfumo wa biashara na viwanda. Kiwanda hakiwezi kuendelea kuzalisha kama hakuna mauzo, biashara haziwezi kufanyika kama hakuna mauzo. Mauzo ndiyo kila kitu kwenye maisha yetu. Bila mauzo hakuna kitu kinachofanyika. Hivyo mauzo ni injini inayoendesha mfumo mzima wa biashara na viwanda, ndiyo kitu kinachochochea uzalishaji zaidi wa bidhaa na huduma. …