Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini hujambo na unaendelea vizuri. Natumaini kuwa umekuwa na mwisho wa juma mzuri sana katika maisha yako, leo ni siku nyingine tena ya kipekee kwetu hivyo basi tunaalikwa kutumia vema siku yetu ya leo. Mpendwa msomaji, napenda kukualika tena katika makala yetu ya …
Continue reading "Faida Kumi na Mbili (12) Za Kuwa Na Changamoto Katika Maisha Yako"