Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri kupambana kuhakikisha unatimiza yale muhimu uliyojiwekea. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani ni siku bora na y a kipekee kwako hivyo basi, itumie vizuri siku yako ya leo ili uweze …
Continue reading "Hawa Ndiyo Watu Wanaokuharibia Biashara Yako"