Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu umeamka salama na unaendelea vizuri katika maisha yako. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani leo ni siku bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kufanya kilicho bora na kutegemea kupata kilicho bora . Hivyo basi, …
Continue reading "Mbinu Moja (01) Ya Kushinda Hofu Kwenye Maisha Yako"