Rafiki yangu, Chochote ambacho unakiabudu sana kinakuwa na sauti ya mwisho juu yako. Kuna matokeo mawili utayapata pale unapokuwa mtu wa kuziabudu fedha. Kwanza zitakupelekesha , ukishakiabudu kitu lazima tu kitakusumbua. Na hapo ndiyo unakua mtu wa fedha. Pili, zitataka zifanye ufanye zinachotaka na sio unachotaka. Ukipata fedha zitaanza kukuendesha ufanye kile ambacho fedha inataka …
Continue reading "Jinsi Ya Kujua Kama Unaziabudu Fedha Zako Au La"