Huyu Ndiye Mtu Pekee Ambaye Anaweza Kukuambia Huwezi

Yuko mtu ambaye ana nguvu kubwa sana katika maisha yako ambaye ni wewe mwenyewe.Unajua kiasili hakuna mtu ambaye ana mdharau mtu au kumtukana mtu ila yale maoni au tafsiri tunazojipa kupitia jambo tuliloambiwa ndiyo linaleta mambo kuwa mabaya.Kumbe basi, tafsiri zetu ndiyo machaguo yetu. Watu wa nje wanaweza kukuambia vile wanavyoweza lakini wa kutoa ruhusa …

Jiandae Kwa Fedha Hii Muhimu

Fedh ni muhimu sana katika maisha yetu na hilo halina ubishi. Fedha inatusaidia kulipia bili mbalimbali kwenye maisha yetu. Kwa lugha rahisi fedha ni mfalme. Anayekuambia fedha siyo muhimu huyo ni mnafiki na huenda hata yeye anafikiria hela ya kula ataitoa wapi ndiyo maana anakujibu hivyo. Dunia ina fedha nyingi sana na baadhi ya fedha …

Wewe Hauko Huru Mpaka Uwe Na Uwezo Huu

Changamoto moja ya watu wengi ni kushindwa kujitawala. Watu wengi wanaendeshwa na hisia sana na karibu maamuzi mengi watu wanayofanya wanayaamua kwa kutumia hisia halafu wanakuja kuhalalisha kile unachoongea kwa kufikiri. Watu wanaendeshwa na tamaa nyingi, tamaa ya mapenzi, tamaa ya kufanya anasa na nk. Ni kundi chache sana la watu ambao wanaweza kujitawala. Wewe …

Unatakiwa Kubishana Kwa Mbinu Hii

Watu wengi hawana uvumilivu katika kuchangia mambo kwa hoja. Wengi wanapenda kushindikiza kitu ambacho wao wanaona kinafaa kwa mabavu na siyo hoja. Kokote pale utakapokuwa usishawishi watu kwa mabavu bali kwa hoja. Muoneshe mtu faida ya kile unachotetea na kwanini akubaliane na wewe. Pia ni rahisi kumshawishi mtu lakini maamuzi bado yako mikononi mwake kuamua …

Hivi Ndivyo Unavyopaswa Kuwa Imara

Kama mpaka leo unalalamika juu ya magumu au changamoto, jiambie kuwa magumu au changamoto ni sehemu ya maisha ya kila binadamu ambaye anavuta pumzi.Hivyo , kukwepa changamoto ni kukwepa maisha yako. Hivyo basi, unapaswa kuwa imara kama vile maji. Maji ni kitu cha ajabu sana kina nguvu kupita maelezo. Kizuizi chochote utakachokiweka kwenye maji, maji …

Kitu Chochote Unachotegemea Kutoka Kwa Wengine Hakikisha Unakuwa Hiki

Huwa tunaweza kupanga sisi wenyewe lakini tunapangua sisi wenyewe. Tunakuwa tunaweka mipango yetu huku tukiamini kuwa mambo yataenda kama vile tunavyotaka sisi. Tunapoweka malengo yoyote, au kitu chochote ambacho tunahitaji kukikamilisha lakini kinafanywa na wengine jiwekee nafasi ya mambo kutokwenda kama vile unavyotaka wewe. Jiwekee nafasi ya kuangushwa, usijiwekee uhakika kabisa kwamba kile nilichopanga kitaenda …

Huyu Ndiye Mtu Masikini Duniani

Huwa tunafikiria kuwa mtu masikini ni yule ambaye hana fedha mfukoni. Kwanza , umasikini hauanzii mfukoni wa mtu, bali unaanzia kwenye akili. Akili huwa ikilala basi na mwili unalala. Unapotumia akili yako vizuri itakusaidia vizuri. Mtu masikini kuliko wote duniani ni yule ambaye hana maono makubwa. Dunia iko hivi ilivyo leo kwa sababu ya watu …

Haya Ndiyo madhara Ya Kujikata Wewe Mwenyewe

Watu wa nje hawawezi kukukataa isipokuwa wewe mwenyewe ukijikataa kwa ndani. Ukishajikatalia kwa ndani hata nje watu watakuchukulia hivyo hivyo. Mafanikio yoyote yanaanzia ndani yetu, usipokuwa ndani vizuri basi hata nje utakua vibaya. Unakuwa vile unavyoonekana ndani kadiri ya wewe unavyojichukulia. Unaweza kujiona huna maana, kama wewe mwenyewe umejiwekea mtazamo huo. Unaweza kujiona wewe kuwa …

Design a site like this with WordPress.com
Get started