Asili ya binadamu ni kazi. Kila siku unapoamka unatakiwa kufikiria leo unaendaje kuwahudumia wale wanaokutegemea. Kupitia kazi zetu, ndiyo mahali ambapo tunategemeana. Ujuzi uliokuwa nao au kazi au biashara unayofanya ndiyo mahali ambapo unaweza kutengeneza maisha yenye maana. Kwenye kazi yako unayoifanya kuna kitu muhimu sana. Kwenye kazi yako kuna nyota yako. Kila mmoja ana …
Continue reading "Hiki Ndiyo Kitu Muhimu Kinachopatikana Kwenye Kazi Yako"