Iko wazi kila mtu ana ndoto yake hapa duniani. Lakini cha kuchangaza wako watu ambao wala hawana ndoto. Kuna binadamu wengine wako kama vile wanyama wanachojua wao ni kula tu. Wako ambao wanaishi ili wale na wako ambao wanakula ili waishi. Vipi ile ndoto yako uliyokuwa nayo kwa sasa umefikia wapi? Nasikitika kuwa ndoto za …
Continue reading "Haya Ndiyo Mafanikio Unayopaswa Kuwa Nayo"