Kamwe hatujawahi kumpata mshindi kwa njia ya kulalamika, kulalamika kuwa gharama za maisha zimepanda ni kupoteza muda kwani huwezi kuondoa gharama za maisha kwa njia ya kulalamika. Iko njia pekee ya kufanya hivyo, maisha hayasimami hata siku moja, kama tunavyoona mabadiliko yanavyotokea kila siku, kila zama zinakuja na mabadiliko yake. Kama gharama za maisha zimepanda …
Continue reading "Kama Gharama Za Maisha Zimepanda, Chukua Hatua Hii"