Fedha ni jawabu la mambo yote na hilo halina ubishi kabisa kwani kila mmoja analiona hilo katika maisha yake ni namna gani fedha ilivyo muhimu. Anayekuambia fedha siyo muhimu basi akili yake haiko sawa. Ni muhimu sana kujipa tathimini katika kipato chako kila mwezi, siku, wiki au hata mwaka. Kama kipato chako hakiongezeki na matumizi …
Continue reading "Dalili Inayoonesha Kuwa Unarudi Nyuma Kiuchumi"