Kila siku unapoamka salama jiambie kila kitu kinawezekana.Mwanzoni ulikuwa unajiuliza utawezaje kuwa hivyo ulivyo leo lakini mbona leo umekuwa hivyo ulivyo leo? Kumbe kila kitu kinawezekana. Endelea kuwa na ndoto kubwa halafu kila siku jiambie inawezekana kuwa mtu fulani. Kwa mfano, jiambie inawezekana kuwa tajiri, yaani weka uwezekano kwenye kile unachotaka kufanya. Maisha yanakupa kile …
Continue reading "Kauli Ya Kishujaa Unayopaswa Kujiambia Kila Siku"