Kwenye maisha hakuna kustaafu, kama umestaafu kazi, endelea kufanya kazi nyingine unayoipenda. Wale wote wanaojitambua huwa wanaandaa kitu cha kufanya maisha yao yote hata wakistaafu kazi wanayoifanya sasa. Je, wewe umeshajiandaa na kitu cha kufanya maisha yako yote? Kama bado wakati ndiyo huu usisubiri kupewa ruhusa. Ziko kazi unazofanya sasa hutoweza kuja kuzifanya tena kwani …
Kila Kitu Kinahitaji Kazi
Usikubali Majuto Haya Yakupate Kwenye Maisha Yako
Majuto au maumivu kwenye maisha huwa hayakosekani , kuna mambo mengi huwa yanakwenda kinyume na matarajio yetu. Kuna aina mbili za majuto. Majuto ya kufanya na majuto ya kutokufanya. Hakuna majuto mabaya kama yale ya kutokufanya. Majuto ya kutokufanya kitu ambacho kipo ndani ya uwezo halafu kinakuja kukutesa maisha yako yote. Ni bora ufanye kwa …
Continue reading "Usikubali Majuto Haya Yakupate Kwenye Maisha Yako"
Fanya Mageuzi Ya Ndani Kwanza
Ijue Nguvu Ya Riba Mkusanyiko
Una Mchango Gani Katika Gurudumu La Maisha?
Dunia isingekuwa hivi ilivyo leo kama watu wasingekuwa wanachangia katika gurudumu la maisha. Je, kwa dunia kuwa hivi ilivyo leo wewe umechangiaje kwenye gurudumu la maisha? Kila mtu lazima afanye kitu au kazi ili maisha yaweze kwenda,ili gurudumu la maisha liweze kwenda. Kwa mfano, wako ambao kazi yao ni kulima hivyo wanachangia chakula kwenye gurudumu …
Continue reading "Una Mchango Gani Katika Gurudumu La Maisha?"
Jinsi Ya Kuwahamasisha Watu Kujituma Zaidi
Kiasili sisi binadamu ni watu wa kupenda mashindano. Huwa tunapomuona mwenzetu ana kitu fulani na sisi tunahakikisha tunapambana ili tuweze kukipata. Watu wanapenda mashindano kwa sababu hakuna anayetaka kuonekana ni mzembe. Kwa mfano, ulikuwa unakimbia mbio zako mwenyewe katika mazoezi mara anapokuja mtu mwingine akakupita kiasili utashangaa na wewe unaongeza mwendo ili uweze kumfikia na …
Continue reading "Jinsi Ya Kuwahamasisha Watu Kujituma Zaidi"
Linda Mahusiano Yako Kwa Gharama Hii Hapa
Vitu Vitatu Vinavyokufanya Usipige Hatua
Kwanza kabisa watu wengi wanaishi lakini hawajui kile wanachotaka. Yaani kama unaamka na hujui unaenda kufanya nini kwenye siku yako unapaswa urudi tu kulala. Sababu ya kwanza ni watu wengi kutokujua haswa kile wanachotaka. Mtu yuko bize kweli na achoka lakini hana matokeo mazuri anayozalisha. Tajiri na masikini wote wako bize lakini tajiri anatumia muda …
Njia Rahisi Ya Kukubaliana Na Watu Katika Majadiliano
Ukitaka mtu akubaliane na wewe kirahisi katika mazungumzo yoyote yale, tafuta kitu ambacho mtu huyo utaanza kumuuliza na akasema ndiyo. Mtu akishasema ndiyo kama mara tatu na ukimwambia kile unachotaka kumwambia anakuwa rahisi kukubaliana na wewe. Kwa mfano, wako watu ambao walitaka kwenda kuweka alama za mabango makubwa barabarani kwa ajili ya kuzuia ajali za …
Continue reading "Njia Rahisi Ya Kukubaliana Na Watu Katika Majadiliano"