Tumepewa amri tuweze kuziishi ili maisha yetu yaweze kuwa bora na tusiende kinyume na asili. Ni rahisi sana kuwa na kanuni au amri kwenye maisha yetu lakini kuishi amri hizo ni kazi sana. Amri ambayo binadamu imemshinda mpaka sasa ni mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe. Hapa ni mtihani mkubwa kwa watu wengi. Kama watu …
Weka Akiba Na Fanya Uwekezaji
Kabla Hujatafuta Kwanza Fedha, Tafuta Hiki Hapa Kwanza
Ingekuwa wewe umeambiwa uchague kati ya fedha na elimu ya msingi ya fedha ungechagua nini kati ya hivyo?Elimu ya fedha, au fedha? Fedha inaendelea kuwa tatizo kwa sababu watu wengi hawana elimu ya fedha. Siyo kwamba hawapati fedha, wanapata ila elimu ya msingi ya fedha ndiyo tatizo kubwa inawafanya fedha wanazozipata zinawakimbia. Ukiwa huna fedha …
Continue reading "Kabla Hujatafuta Kwanza Fedha, Tafuta Hiki Hapa Kwanza"
Muulize Mpenzi Wako Swali Hili
Kwa kila mwanandoa huwa shabaha yake kuu ni kutaka kuona ndoa yake ina mafanikio makubwa. Yaani yale mazuri ambayo kila mmoja wetu anayo, tukiyachanganya kwa pamoja tunakua na maisha bora sana ya ndoa. Kinachowaumiza wanandoa wengi katika zama hizi za taarifa ni ubinafsi. Ubinafsi ni shetani anayekula ndoa nyingi. Ninashangaa kuona watu wanasema wamekuwa mwili …
Maoni Yako Ni Muhimu Kuliko Ya Wengine
Jinsi Ya Kuepuka Matatizo Ya Kujitakia Eneo Lolote La Maisha Yako
Kufanya makosa ni asili yetu sisi binadamu. Hakuna mtu ambaye hafanyi makosa wala hakosei. Tunamshukuru Mungu kwa kutusaidia msamaha kwenye maisha yetu. Kama msamaha usingekuwepo maisha yangekuwa magumu sana. Msamaha unatusaidia kurudisha uhusiano wa awali. Na ni kawaida huwezi kumaliza siku yako bila kukasirishwa au kukwazwa kwa namna yoyote ile. Ziko njia mbili za kuepuka …
Continue reading "Jinsi Ya Kuepuka Matatizo Ya Kujitakia Eneo Lolote La Maisha Yako"
To Be Great Is To Be Misunderstood
Dalili Ya Akili Yenye Uvivu Na Jinsi Ya Kukomesha Uvivu Huo
Kiasili sisi binadamu ni wavivu, na uvivu wa binadamu uko kwenye kila eneo, uvivu wa kiakili, kiroho na kimwili. Na uvivu ambao leo tunakwenda kuujadili ni uvivu wa akili. Je, utajuaje sasa mtu fulani au akili ya fulani ina uvivu wa akili? Dalili ya kwanza ya kujua mtu ambaye ana uvivu wa akili ni pale …
Continue reading "Dalili Ya Akili Yenye Uvivu Na Jinsi Ya Kukomesha Uvivu Huo"
Vitabu Vingapi Vimekupitia Wewe?
Ukitafuta Ubaya Kwa Mtu Tegemea Kuupata
Ukichukua karatasi nyeupe kabisa (plain) halafu ukachora nukta katikati kisha ukawauliza watu,je unaona nini kwenye hii karatasi watakuambia kuna kidoti au kinukta katikati. Hivi ndivyo tulivyo binadamu, tunaangalia udhaifu mdogo wa mtu kuliko uimara alikua nao. Ukichukulia mfano wa karatasi eneo la doa ni dogo kuliko eneo ambalo halina doa lakini watu hawataangalia hilo watakimbilia …