Usipojiandaa kushinda maana yake umejiandaa kushindwa. Je, umejiandaaje kuanza mwaka 2022? Umejianda kuanza mwaka wako kiushindi au umejiandaa kuanza mwaka wako kimazoea, kiuchovu? Mtu makini yeyote yule anayejua kile anachotaka hawezi kukubali kuanza mwaka wake kama ajali, lazima atataka kuanza mwaka wake kiushindi. Watu wengi huwa wanawasha moto wa hamasa januari mosi, lakini baada ya …
Continue reading "Sababu Moja Kwanini Hupaswi Kukosa Semina Ya Kuanza Mwaka 2022 Kiushindi"