Njia Saba za Kujitofautisha na Kuwa wa Kipekee (Sehemu ya Saba)

Tumefika kwenye hitimisho la safari yetu ya kujifunza mbinu muhimu za kujitofautisha na kuwa mtu wa kipekee.Leo tunazungumzia jambo la saba, ambalo ni ingia kwenye mchezo (Showtime!) Ingia Kwenye Mchezo (Showtime) Kila mtu ana "mchezo" wake kwenye maisha — wengine ni kazi zao, wengine biashara zao, wengine huduma wanazotoa kila siku.Lakini wachache sana huona mchezo …

Njia Saba za Kujitofautisha na Kuwa wa Kipekee (Sehemu ya Sita)

Tumeona mambo matano muhimu yanayokusaidia kujitofautisha na kuwa mtu wa kipekee: kuwahi mapema, kuondoa usumbufu, kutoa thamani mara 10, kuwa na viwango vya juu, na kuzama ndani.Sasa tuendelee na jambo la sita: Weka Umakini Umakini ni silaha adimu sana kwenye dunia ya leo. Watu wengi wanafanya mambo bila kuweka umakini. Mwili wao uko kazini, lakini …

Njia Saba za Kujitofautisha na Kuwa wa Kipekee (Sehemu ya Tano)

Tumeona mambo manne muhimu ya kukutofautisha na wengine: kuwahi mapema, kuondoa usumbufu, kutoa thamani mara 10, na kuwa na viwango vya juu.Sasa tuangalie jambo la tano: Zama Ndani Watu wengi wanafanya vitu kwa juu juu. Wanafanya ili mradi tu kazi iishe, ili mradi tu biashara isisimame, au ili waonekane nao wanafanya jambo fulani.Lakini mafanikio makubwa …

Njia Saba za Kujitofautisha na Kuwa wa Kipekee (Sehemu ya Nne)

Tumeshaona mambo matatu muhimu ya kujitofautisha: kuwahi mapema, kuondoa usumbufu, na kutoa thamani mara 10.Sasa twende kwenye jambo la nne: Kuwa na Viwango vya Juu Kwenye maisha, kumbuka kanuni hii: hutapokea kile unachostahili, bali hupokea kile unachokubali. Watu wengi hushindwa kwa sababu wanakubali viwango vya chini – kazini, kwenye biashara, kwenye kipato, na hata kwenye …

Njia Saba za Kujitofautisha na Kuwa wa Kipekee (Sehemu ya Tatu)

Tayari tumeona mambo mawili muhimu ya kukutofautisha na wengine: kuwahi mapema na kuondoa usumbufu. Sasa twende kwenye jambo la tatu ambalo ni moja ya silaha kubwa za mafanikio: Toa Thamani Mara 10 Siri ya watu wa kipekee ni hii: hawatoi kile kinachotarajiwa pekee, bali wanatoa zaidi ya kinachotarajiwa.Kwa kila kitu unachofanya, jitahidi utoe thamani mara …

Njia Saba za Kujitofautisha na Kuwa wa Kipekee (Sehemu ya Pili)

Kwenye sehemu ya kwanza tuliona kwamba tabia ya kuwahi mapema inakutofautisha na watu wengi na kukuandaa kwa mafanikio makubwa. Leo tunaendelea na jambo la pili ambalo ni muhimu sana kwa yeyote anayetaka kujitofautisha na kufanya makubwa. Ondoa Usumbufu Kitu kinachowaangusha watu wengi siyo kwamba hawajui cha kufanya, bali ni usumbufu unaowazunguka. Wengi wapo bize na …

Njia Saba za Kujitofautisha na Kuwa wa Kipekee (Sehemu ya Kwanza)

Kuna matatizo mawili makubwa kwenye zama tunazoishi sasa.Tatizo la kwanza ni watu kuishi kwa mazoea na kufuata mkumbo . Wanafanya kile ambacho kila mtu anafanya, kwa sababu wengine wamezoea kufanya hivyo. Hapo ndipo upekee wao unaofaa kung’aa unazimwa. Tatizo la pili ni watu kutokujali kile wanachofanya . Iwe ni kazi au biashara, wengi wanafanya tu …

Huwezi Kujua Nani Yuko Mbele Yako

Kila siku tunakutana na watu wapya—katika kazi, biashara, safari, hata mitaani. Wengi huwa tunawapima juu juu: mavazi yao, kazi wanazofanya, au maneno yao ya kwanza. Lakini ukweli ni huu: huwezi kujua nani yuko mbele yako. Ndiyo maana ni hekima kubwa kumchukulia kila mtu kwa adabu, heshima, na uaminifu. Yule mtu unayemdharau kwa sababu anaonekana hana …

Siri Kuu ya Kufanya Makubwa

Kila mtu ana ndoto kubwa moyoni mwake. Wengine wanataka kuanzisha biashara kubwa, wengine kutengeneza mali ya kudumu, na wengine kubadilisha maisha ya jamii zao. Lakini siri kubwa ya kufanikisha hayo yote siyo kusubiri kesho, siyo kuanza pale kila kitu kitakapokuwa sawa, bali kuanza sasa – kidogo ulipo, na kwa kile ulicho nacho. Ukikaa ukifikiria ukomo, …

Mitazamo 4 ya Kubadili ili Kupata Fedha na Utajiri Mkubwa – Sehemu ya Nne

Katika sehemu zilizopita tuliona mitazamo mitatu inayoweza kukuzuia kupata fedha na utajiri mkubwa: Uhaba – kuamini fedha ni chache na lazima uzifiche. Kufa na kupona – kuamini ukizikosa fedha ni mwisho wa maisha. Ushindani – kuamini mafanikio yako lazima yatokane na kushindwa kwa wengine. Leo tunakamilisha kwa Sehemu ya Nne: mtazamo wa kuchukua. Mtazamo wa …

Design a site like this with WordPress.com
Get started