Katika maisha ya kila siku, ni jambo la kawaida kupitia changamoto, msongo wa mawazo na migogoro binafsi. Wakati mwingine mizigo hiyo hutufanya tuwe na hasira, kisirani au chuki zisizo na msingi kwa watu waliotuzunguka. Lakini pamoja na yote hayo, kuna watu wawili muhimu sana ambao hupaswi kabisa kuwanunia au kuwachukia, hata kama unapitia kipindi kigumu …
Continue reading "WATU WAWILI AMBAO HUPASWI KUWANUNIA KATIKA MAISHA"