Wafanyabiashara wengi wana tatizo moja kubwa: 👉 Mauzo yao hayana consistency. Leo wanauza sana… Kesho hakuna mauzo kabisa. Kwa nini? 👉 Kwa sababu hawana mfumo wa mauzo unaorudia. Ukweli Muhimu Sana 👉 Biashara haiwezi kukua kwa mauzo ya kubahatisha. Inahitaji: ✔ mfumo✔ consistency✔ utaratibu unaojirudia Tatizo la Watu Wengi Watu wengi: ❌ wanauza wakijisikia❌ wanapost …
Continue reading "May 17 — Tengeneza Mfumo wa Mauzo Unaorudia"