Huwa tunaona magumu kama balaa kwenye maisha yetu lakini siyo kweli Seneca Mwanafalsafa wa kistoa anasema, kila gumu unalopitia kwenye maisha kuna fursa ndani yake. Hakuna jambo ambalo linatokea bila kuwa na faida kabisa. Kumbe basi, wajibu wetu ni kujiuliza kwenye kila ugumu ni faida gani ipo ndani yake?Ni fursa zipi nzuri tunazoweza kuzitumia kwa …
Continue reading "Kila Gumu Unalopitia Kwenye Maisha Kuna Fursa Nzuri Ndani Yake"