Kila mtu anajua kuwa fedha ni muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku hilo halina ubishi. Haihitaji hata wadhamini au wahisani kutoka nchi za nje kuja kukuthibitishia kama fedha ni muhimu au la. Fedha ni jawabu la mambo yote kama mhubiri anavyosema. Kila kukicha wanaibuka watu wanaotangaza namna rahisi ya kupata fedha, wengine wanasema …
Continue reading “Kama Unajua Misingi Hii Ya Fedha Dunia Haiwezi Kukusumbua”