Hawajakosea wahenga waliposema mteja ni mfalme. Hivi unajua mfalme ni mtu anayetaka kile anachokitaka yeye bila sababu yoyote kwa sababu ni mfalme. Mfalme hajiulizi nitapate kitu fulani ila yeye akitaka kile anachokitaka anakipata ndivyo hivyo ulivyo. Maisha yetu kwa kiasi kikubwa yametawaliwa na biashara, huwezi kupita sehemu na ukakosa kuona watu wakifanya biashara. Biashara zilikuwepo …
Continue reading “Jinsi Wafanyabiashara Wanavyofukuza Wateja Wao”