Mambo Muhimu Ya Kufanya Kama Unataka Kuwa Tajiri

Mpendwa rafiki, Hakuna kitu chochote kitakachokuja katika maisha yako bila kazi. Hata ulale kama chakula hakiwezi kukufuata hapo ulipo lazima utainuka na kwenda kukifuata chakula kiwepo. Kila kitu kinahitaji kazi, ili upate fedha unaitaji kuweka kazi  na ili uache alama unahitaji kuweka kazi pia. Kwa lugha rahisi, maisha ni kazi hilo halina ubishi kwa sababu …

Jinsi Ya Kusajili Na Kujimilikisha Mawazo Yako

Mpendwa rafiki, Huenda hata hapo ulipo umekuwa na mawazo bora mengi lakini hujayafanyia kazi mpaka sasa. Pengine mawazo uliyokuwa nayo umeyaandika mahali au wengine wamebaki nayo kichwani yote sawa tu kila mmoja anaamua kuhifadhi kwa namna aliyochagua yeye ila fasihi andishi ni nzuri ulilinganisha wale wanaohifadhi kichwani. Nilishawahi kuandika njia nzuri ya kuokoa mawazo ni …

Kosa Moja Kubwa Unalofanya Katika Talanta Yako

Mpendwa rafiki, Kwa lugha rahisi tu, aliyenacho ataongezewa zaidi, na yule mwenye  kile kidogo alichonacho atanyang’anywa.  Hii tunaiona hata katika maisha yetu ya kawaida aliyekuwa tajiri anazidi kuwa tajiri zaidi na aliyekuwa masikini anazidi kuwa masikini zaidi. Kila binadamu kuna talanta amepewa hata kuna ule mfano wa tajiri mmoja aliyewapa watumwa wake kila mmoja talanta …

Sababu Kuu Moja Kwanini Umepewa Hivyo Ulivyonavyo Sasa

Wewe ni sababu ya mimi kufanikiwa na mimi ni sababu yaw ewe kufanikiwa. Kila mmoja wetu anamtegemea mwenzake ili aweze kufanikiwa lakini kitu ambacho kinatukwamisha ni ubinafsi wetu tulionao. Ubinafsi huu unaanzia kwenye akili na muda mwingine huo ubinafsi unakuwa unaambatana na wivu ndani kwamba nikimsaidia fulani atanipita au atafanikiwa zaidi ya mimi, iweje yeye …

Changamoto Inayowakabili Wateja Wengi Siku Hizi

Mpendwa Rafiki, Kuna kitu ambacho watu siku hizi wanakikosa katika maisha yao na ni kitu kidogo lakini kinachangia maisha ya mtu kuwa bora au hovyo. Kila mtu ni mteja wa huduma fulani hivyo katika huduma tunazopatiwa sisi kama wateja au wanunuzi kuna kitu tunakikosa kutoka kwa wale wanaotupatia huduma hata kama kuna watu wengine wanatuhudumia …

Kama Unataka Kuonekana Mtu Uliyeelimika Kubali Kufanya Kitu Hiki Kwanza

Asili ya binadamu ni kupinga, mtu akifanya kosa kitu cha kwanza huwa ni kupinga na kuonesha ni jinsi gani yeye hausiki na mwingine ndiyo anahusika. Tumekuwa ni watu wa kujitetea na kuonesha kuwa sisi hatuhusiki hata pale inapotokea hasara. Katika uongozi watu wanapenda mara nyingi kwenda vile wanavyotaka wao sasa ikitokea mtu unawaongoza tofauti na …

Kitu Kinachofanya Maisha Kuwa Magumu

Mpendwa rafiki, Ukijaribu kuchunguza kwa makini katika jamii yako, familia yako kwa ujumla kuna kitu ambacho kinafanya maisha kuwa magumu sana kuliko kawaida. Watu wanakosa usingizi kwa sababu  ya vitu hivyo, ugomvi na hata kutoelewana muda mwingine kwa sababu ya vitu hivyo. Mtoto mdogo hakuna kitu anachojali yeye zaidi ya mahitaji yake ya msingi yale …

Ifahamu Biashara Inayopendwa Kufanywa Na Watu Wengi

Mpendwa rafiki, Kuna mambo ambayo kila mtu anaweza kufanya katika maisha yake. Kuna watu wanasema mambo ni magumu lakini hata mambo yawe ni magumu kiasi gani watu kila kukicha hawaachi kufanya biashara hiyo, je unajua ni biashara gani? ni biashara ambayo imefanywa na wengi na inaendelea kufanywa na wengi na wanaoamua kuifanya kwa vitendo kweli …

Badilisha Mitazamo Hii Kwenye Mambo Ya Fedha

Tunajua kuwa fedha ndiyo inaendesha maisha yetu ya kila siku. Tunalipia bili mbalimbali kila siku hivyo kwa lugha rahisi tunaweza kusema fedha ni muhimu katika maisha yetu na wala hatuwezi kuikwepa kuitumia hata siku moja. Lakini watu wengi wanaotafuta pesa wamekuwa na mitazamo hasi juu ya fedha na hapa ndiyo maana wengi wanaishia kupata kile …

Haya Ndiyo Matokeo Ya Wale Walioshindwa Kujenga Ndoto Zao

Mpendwa rafiki, Wengi wanaishi katika ndoto ambazo siyo zao. Wengine wamekuwa katika fani ambazo wamesomea kwa sababu ya shindikizo labda kutoka kwa mzazi au mwingine alikwenda kusomea kozi fulani chuo kikuu kwa sababu ya kupata mkopo ili aweze kusoma. Wengi wako uchi kwa sababu wanaishi tofauti na kile walichokipenda. Huenda hata wengine wameingia katika maisha …

Design a site like this with WordPress.com
Get started