Rafiki, Tumekuwa ni watu wa kuahidi vile tunavyoweza sisi wenyewe. Mara nyingine tunaahidi hata tukiwa na hisia halafu baadaye tunakuja kujilaumu kwa kile tulichofanya sisi wenyewe. Tunaalikwa kuwa huru, usiahidi kama uko kwenye hisia, na usiahidi kama huwezi kutekeleza kile unachoahidi. Jipe muda wa kufikiria kabla hata hujaahidi. Mtu akikuambia ahidi, usikubali kuahidi pale pale, …
Category Archives: Uncategorized
Hiki Ndiyo Kitu Ambacho Hakikosekani katika Ratiba Ya Watu Wanaoishi Siku Zao Kitajiri
Mpendwa rafiki yangu, Kuna watu huwa wanazianza na kuziishi siku zao Kimasikini. Kuanza siku kwa kutumikia wengine bila kujitumikia wewe mwenyewe huo ni umasikini. Unaanza siku kwa kuchukua simu bila hata kusali na kutembelea mitandao ya kijamii kutaka kujua nini kimejiri, huu ni umasikini na utumwa. Unatakiwa kuishi siku yako kitajiri, unaamka na kuanza siku …
Hiki Ndiyo Kitu Cha Pekee Unachoweza Kukipata Kwa Mtu Yeyote Na Kunufaika Nacho
Mpendwa rafiki yangu, Wewe ni mtu wa kipekee sana hapa duniani. Tokea dunia iumbwe na Mungu hakujawahi kutokea mtu kama wewe. Wewe ni zawadi ya dunia , una ubora ndani yako, umezaliwa kwa ajili ya mtu fulani na nafasi ni nzuri sana kwenye kujaza hii dunia. Toa thamani iliyoko ndani yako, wewe ni zawadi kwako …
Continue reading “Hiki Ndiyo Kitu Cha Pekee Unachoweza Kukipata Kwa Mtu Yeyote Na Kunufaika Nacho”
Hii ndiyo Mbinu Ya Kumfanya Mtoto Wako Kuwa Bora
Watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu. Hakuna aliyeandika barua kuwa anataka kuzaliwa au alichagua azaliwe na wazazi fulani. Wote tumejikuta tumezaliwa na wazazi ambao tunao sasa. Kuzaa siyo kazi, kazi kulea mwana. Hakuna kazi ngumu kama malezi , hiki ni kipindi cha kumuunda mtoto vile unavyotaka wewe, tukikosea katika malezi, tumekubali kuwaharibu watoto wetu sisi …
Continue reading “Hii ndiyo Mbinu Ya Kumfanya Mtoto Wako Kuwa Bora”
Kitu Ambacho Kipo Nje Ya Uwezo Wako
Muda mwingine ukitaka mambo yaende kama ulivyopanga wewe utashindwa. Huwezi kuzuia dunia iende kama vile unavyotaka wewe. Huwezi kuzuia matukio ya dunia bali unachotakiwa yaruhusu yatokee kama yalivyopangwa kutokea. Kutaka watu wafanye kama unavyotaka wewe,waende kama vile unavyotaka wewe ni kitu ambacho kipo nje ya uwezo wako. Watu wanaishi vile wanavyotaka wao ila ukienda kinyume …
Jinsi Ya Kuishi Katika Nyumba Yako Mpya na Kuwa na Gari Lako Jipya
Rafiki yangu, Naanza kwa kusema mchezo mzima wa mafanikio unaanzia akili kwako. Akili yako ndiyo inaunda kile unachotaka katika maisha yako. Akili yako ni sumaku huwa ina tabia ya kuvuta kile unachowaza mara nyingi. Je namna gani unaweza kuwa na nyumba yako mpya na gari lako jipya? Ni rahisi tu, weka nyumba au gari unalotaka …
Continue reading “Jinsi Ya Kuishi Katika Nyumba Yako Mpya na Kuwa na Gari Lako Jipya”
Huu Ndiyo Muda Ambao Siyo Wako
Rafiki, Kila mmoja wetu ameshawahi kupata adhabu ya muda, muda huwa unatuwajibisha bila kujali mtu wa aina yoyote ile. Huwa mara nyingi tunapopanga kufanya kitu sasa tunapata hisia za kuahirisha na kusema baadaye tutafanya. Lakini ukweli ni kwamba baadaye inakuja kutuadhibu vibaya sana, kile tunachopanga tunashindwa kukifanya kwa sababu mambo huwa yanaingiliana tena. Kuna muda …
Kama Unataka Kiasi Kikubwa Cha Fedha, Badili Kwanza Kitu Hiki
Rafiki, Mara nyingi huwa tunapata kiasi kile kile cha fedha kwa sababu kuu moja. Hatujaziandaa akili zetu kupata kiwango kikubwa cha fedha ndiyo maana unaweza kumuona mtu akipata kiwango kikubwa cha fedha kuliko akili yake ilivyozoea atafuta namna ya kukiondoa abaki katika hali yake. Unatakiwa kuseti kiwango kikubwa cha fedha kwenye akili yako hata kama …
Continue reading “Kama Unataka Kiasi Kikubwa Cha Fedha, Badili Kwanza Kitu Hiki”
Hii Ndiyo Sehemu Ya Kuanzia Kama Hujui Wapi Kwa Kuanzia
Rafiki, Huwa tunataka kufanya jambo tunajiuliza tuanzie wapi? Tuna kuwa na maswali mengi sana juu yetu tukitaka kuanza kitu fulani. Wengine huwa wanakabiliwa na hofu ya kuogopa kuanza kitu fulani na kuona je watu watanichukuliaje? Neno kubwa ambalo napenda kukuambia kama ni mtu unayejishauri ni wapi utaanzia mimi nakuambia anzia hapo hapo ulipo. Hicho ulichonacho …
Continue reading “Hii Ndiyo Sehemu Ya Kuanzia Kama Hujui Wapi Kwa Kuanzia”
Kwanini Hupaswi Kufanya Kama Watu Wanavyotaka Wao
Kila siku unatakiwa kuishi maisha ya vile unavyotaka wewe kwa sababu wewe ndiyo mkurugenzi wa maisha yako. Tumekuwa watumwa wa kuishi maisha ya watu wengine na siyo vile tunavyotaka sisi. Na hii imetuletea maisha ya maigizo sana. Chochote unachotaka kufanya fanya kwa ajili yako na siyo kumfurahisha mtu yeyote yule. Maish ni mafupi sana kama …
Continue reading “Kwanini Hupaswi Kufanya Kama Watu Wanavyotaka Wao”