Njia Nzuri Ya Kuweka Akiba

Rafiki, Kila mmoja wetu anafahamu umuhimu wa kuweka akiba katika maisha yake. Huwa ni jambo ambalo tunalielewa vizuri lakini ubishi mkubwa unakuja kwenye utekelezaji wake. Karibu waandishi wengi na watu waliofikia mafanikio makubwa wanatuambia umuhimu wa kuweka akiba. Akiba ni hazina kwa kila binadamu anayeendelea kuishi. Kumekuwa na watu wa madeni mpaka yale madeni yameshakuwa …

Jinsi Ya Kuepuka Kusahau Kufanya Jambo Lako Muhimu

Imekuwa ni kawaida katika jamii yetu watu kusahau kufanya ambayo tulipanga kufanya. Na asili ya binadamu ni kusahau. Hakuna mtu ambaye hasau kabisa na ukizingatia kwa sasa mambo yalivyokuwa mengi ni rahisi sana kusahau. Watu wanatingwa na kazi nyingi kwa sababu maisha yamekuwa ni mchakamchaka kweli hakuna kulala bali kupambana tu. Kila siku mtu anajituma …

Usidharau Kile Ambacho Unacho

Rafiki, Kama unataka kuona umuhimu wa kile ambacho unacho sasa hebu kipoteze au kikose. Tumekuwa ni watu wa kutothamini kile ambacho tunacho, mara nyingi tumekuwa ni watu wa kuchukulia poa vile ambavyo tunavyo. Usichukulie poa kitu chochote ambacho unacho maana siku ukikikosa utaumia sana. Hata kama kuna kitu huwa unakichukulia poa siku usipokiona utaumia sana. …

Hiki Ndiyo Kitu Adimu Kwenye Zama Hizi Za Maarifa

Mpendwa rafiki yangu, Zama tunazoishi kila mtu yuko bize, lakini ukimuuliza mtu yuko bize na nini hawezi kukuambia  na mwisho wa siku anakuja kumaliza siku yake akiwa hana alichofanya cha maana huku ukiangalia alikuwa bize siku nzima. Huwa tunaishi maisha ambayo siyo yetu, tunaishi maisha ya kuigiza sana. Tunaonekana kwa nje tuko vizuri lakini ndani …

Jinsi Shida Inavyoweza Kukufanya Upate Akili

Aliyekuwa waziri mkuu wa uingereza Winston Churchil aliwahi kusema mtazamo ni jambo dogo sana linaloweza kuleta tofauti kubwa. Kwa kauli hiyo basi, tunaweza kusema kuwa matatizo siyo tatizo bali mtazamo wako ulionao juu ya matatizo. Kwa sababu matatizo ndiyo huwainua watu na kuwafanya wanajua hata thamani yao ya ndani iliyolala. Shida inaweza kukufanya upate akili …

Jinsi Ya Kujijengea Tabia Bora

Kila mtu anapenda kuwa na tabia bora tatizo ni namna ya kujenga tabia hiyo. Asilimia kubwa ya vitu tunavyofanya kila siku ni tabia zetu tulizojijengea. Tabia ndiyo inakuwa imetawala sehemu kubwa ya maisha yetu kila siku. Sasa unawezaje kujijengea tabia bora? Ni rahisi sana, kama unataka kujijengea tabia bora juu ya kitu fulani basi fanya …

Hii Ndiyo Sifa Ya mzazi Bora

Mzazi ndiyo kiongozi mkuu wa watoto hapa duniani. Watoto wanawategemea wazazi kwa kila kitu. Bila mwongozo wa wazazi mtoto anakua anakosa mwelekeo mzuri. Mzazi yeyote anayependa mtoto wake awe bora inawezekana mtoto kuwa bora kama tu mzazi akiamua yeye mwenyewe kuwa bora. Sifa ya mzazi bora ni yule anayebariki watoto wake na siyo kulaani watoto …

Jinsi Watu Wanavyojidanganya Kwenye Suala La Kuweka Akiba

Hatuwezi kuendelea kama hatuwezi kuweka akiba. Kupata fedha na kutumia yote bila kuweka akiba ni umasikini mkubwa sana. Kila mmoja wetu anaalikwa kuweka akiba ambayo itamsaidia katika dharura. Watu wengi ambao wanakuwa wanakimbilia kukopa ni wale ambao hawana akiba. Kama una akiba na umepatwa na dharura kwanini uende ukakope? Unakopa kwa changamoto za fedha kidogo …

Mambo Muhimu Ya Kuondoa katika Akili Ya Watoto

Watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu. Wazazi nao ni zawadi kutoka kwa Mungu, hakuna aliyewahi kuandika barua ya kuomba kuzaliwa na mzazi fulani. Bali wote tumejikuta tumezaliwa na wazazi ambao tunao sasa. Waswahili wanasema, kuzaa siyo kazi bali kazi ni kulea mwana. Kuna kazi kubwa sana ya malezi kwa sasa. Kumlea mtoto katika mtazamo chanya …

Hiki Ndiyo Kiunganishi Cha Ushindi Wowote Ule Unaotaka

Mpendwa rafiki, Kila mtu ni bosi wa maisha yake mwenyewe. Kila mtu ni bosi katika kazi yake. Hakuna mtu anayeweza kufanya kazi ya mwenzake. Kazi ya mtu ni kazi ukipewa hutoiweza hata kidogo. Tunatakiwa kuheshimu kazi za mwenzetu kwani kila mmoja ana kazi yake. Unaweza kuiona kazi ya mtu ni rahisi ila ukiingia kuifanya utaona …

Design a site like this with WordPress.com
Get started