Rafiki, Fedha ni jawabu la mambo yote. Ni muhimu katika maisha yetu ya kila siku. Hakuna ubishi juu ya fedha kama ni muhimu au la. Fedha ndiyo inalipa bili katika maisha yetu hivyo ukisema fedha siyo muhimu huenda akili yako haiko sawa. Njia bora ya Kutokuangushwa na watu katika suala la fedha ni kutotegemea fedha …
Continue reading “Njia Bora Ya Kutokuangushwa Na Watu Kwenye Suala La Fedha”