Hii Ndiyo Rushwa Inayokubalika Na Watu Wengi

Watu Wengi wamezoea kufanikiwa kwenye kitu fulani lazima utoe rushwa fulani au uwe na koneksheni na mtu fulani. Ni kweli kuwa na koneksheni ni moja ya njia ya kufanikisha mambo yetu kirahisi. Lakini kuna njia ambayo tukiitumia huwa inapenya kila mahali na rushwa hiyo siyo nyingine bali ni rushwa ya ubora. Ubora ndiyo rushwa ambayo …

Jinsi Ya Kuongeza Kipato Zaidi

Hivi ni nani ambaye hapendi kuwa na kipato zaidi katika maisha yake? Jibu ni kwamba kila mmoja wetu anapenda kuwa na kipato zaidi hivyo ni njia gani tunaweza kutumia ili tuwe na kipato zaidi? Iko njia moja kuu ya kukuwezesha wewe kuziona fursa na kisha kuzitumia fursa hizo kukuongezea kipato zaidi. Na kitu chenyewe ni …

Jinsi Ya Kuushinda Ubaya

Rafiki, Ubaya huwa unazaa ubaya. Sasa kama ubaya unazaa ubaya ya nini kuwa na ushirikiano na ubaya? Ubaya hauna faida chanya juu ya maisha yetu kumbe inatupasa tutoe upendo. Kwenye upendo ndiko utu wa binadamu ulipo lala. Unafikiri ni kwanini? Kwa sababu upendo huzaa upendo na upendo huwa haufurahii pale mtu mwingine anapoteseka juu ya …

Hii Ndiyo Faida Moja Ya Maarifa Ambayo Ulikuwa Hujui

Moja ya nukuu ya mwanafalsafa Seneca inasema hivi, kwa kuwa bado unaishi endelea kujifunza. Kumbe basi, kujifunza ni sehemu ya maisha yetu, kama uko hai wajibu wako ni kujifunza kwa bidii kila siku. Jim Rhon anasema kosa chakula lakini usikose kusoma kitabu. Watu wengi waliofanikiwa ukiwauliza nini kimewafanya wafanikiwe watakutajia sababu zao lakini moja ya …

Njia Rahisi Ya Kupima Siku Zetu

Huwa tunashangaa kwa mambo mengi yanayoendelea kutokea katika karne hii, kwa mawazo ya watu wengi wanafikiri kuwa haya mambo yanayotokea leo huko nyuma hayajakuwepo. Kumbe, mambo ambayo yanayoendelea kutokea sasa ni mwendelezo tu wa dunia, lakini kwa asili hakuna jipya bali mambo ni yale yale. Watu wa zamani walikuwa ni mafundi kwenye vitu vingi na …

Kila Mtu Anataka Kuwa Maarufu Lakini…

Siku zote kitu ambacho kitakuja kukulipa hapa duniani ni kazi na siyo kitu kingine. Kama kuna kitu unachotakiwa kukipenda zaidi basi ni kazi. Kazi huwa haimtupi mtu bali huwa inawainua watu. Ukitaka uheshimike basi kubali kufanya kazi kwa bidii na unapoweka kazi lazima utapata matokeo ya tofauti. Watu wanapenda kuwa na vitu vizuri sana, maisha …

Kuwa Makini Na Kinachokuja Kirahisi Kwenye Maisha Yako

Rafiki yangu, Mtu mmoja aliwahi kusema kuwa kile ambacho huwa kinakuja kirahisi huwa hakidumu. Hapa tunajifunza kuwa hata mafanikio yanayokuja kirahisi kwako huwa hayadumu hata siku moja. Kwanini? Kitu ambacho kinakuja kirahisi kinaondoka kirahisi kwa sababu hutakuwa nacho makini. Angalia ni mambo mangapi ambayo yamekuja kwako kirahisi na umeyachukulia poa? Binadamu tuna kitu kimoja, kile …

Siyo Fedha Wala Koneksheni Bali…

Fedha huwa inakuwa ni matokeo ya thamani tunazotoa. Siyo fedha wala koneksheni zinazowafanya watu wafanikiwe bali kuna vitu viwili ambavyo vinakufanya uwe na vyote unavyohitaji. Ukishakuwa na vitu hivyo viwili basi vitaweza kukupa fedha na koneksheni. Je vitu hivyo ni vitu gani? Bilinionea Mark Cuban anatuambia kuwa siyo fedha au koneksheni bali ni utayari wa …

Ifahamu Nguvu Ya Kujitamkia Matashi Mema

Mpendwa rafiki yangu, Kuna wakati mwingine unahitaji tu kujitamkia maneno chanya wewe mwenyewe. Mafanikio yako, yapo katika kinywa chako. Jinsi unavyojitamkia mwili, akili na roho vinapokea na kuwa kama vile unavyotamka. Mazingira ya kua vile unavyotaka kua yanaanza kujitengeneza yenyewe. Tunaamua maisha tunayotaka kua kwa vinywa vyetu wenyewe. Ukiwa ni mtu wa kujitakia matashi mema …

Ifahamu Sheria Ya Karma

Dunia inajiendesha kwa misingi yake na kila mmoja wetu anafundishwa na asili kwa kujua au hata kutokujua. Tunapoambiwa tuishi kadiri ya asili maana yake tuyakubali yote yanayotokea mbele yetu kama sehemu ya maisha. Likija jua au mvua sawa hatupaswi kupingana na asili kwamba kile tunachotaka sisi sasa ndiyo kitokee. Leo tutajifunza juu ya sheria ya …

Design a site like this with WordPress.com
Get started