Kama Unaishi Kwenye Karne Ya 21 Usiache Kujifunza Kitu Hiki Hapa

Kuna kitu ambacho watu wengi wanapuuzia bila kujua ni kitu muhimu kwa kila mtu. Kama uko hai na unaishi kwenye karne 21 basi unapaswa kujifunza kitu hiki kimoja ambacho tunakwenda kujifunza leo. Unatakiwa ujifunze kuuza. Jifunze namna ya kuuza kwenye kile unachofanya kwa mfano, kama wewe ni mwalimu jifunze kuuza ualimu wako, kama wewe daktari …

Haziwezi Kukusaidia Kamwe

Ni rahisi kuwadanganya watu kwa maneno lakini matokeo na matendo yanakuumbua. Tumekuwa ni watu tunaofanya kazi kwa mdomo na kujielezea sana kile tunachofanya badala ya kuweka kazi na kazi zetu zitutangaze. Nikuambie ukweli rafiki yangu, sababu hazitoweza kukusaidia hata siku moja. Hakuna mtu aliyewahi kufanikiwa kwenye eneo lolote lile la maisha kwa njia ya sababu. …

Hili Ndiyo Eneo Gumu Kwako Kufanikiwa

Watu wanaofanya vizuri kwenye vile wanavyofanya ni wale wanaopenda vile wanavyovifanya. Ni rahisi kufanikiwa kwenye mchezo uliochagua kucheza kama unaupenda mchezo huo. Angalia wanaofanya vizuri kwenye michezo mingi ni wale wanaoupenda huo mchezo na muda wao mwingi wanautumia kujifunza huo mchezo wanaoupenda. Eneo gumu kwako kufanikiwa ni lile eneo unalolichukia. Huwezi kufanikiwa kwenye kile unachokichukia. …

Hii Ndiyo Habari Ya Kuifuatilia Leo

Kila siku umekuwa unasikiliza, unaangalia habari mbalimbali lakini leo nakusihi uende ukafuatilie habari unayokwenda kuijua leo na kuacha na habari nyingine. Hivi tokea uanze kufuatilia habari imekusaidia kuingiza kipato? Kama unaingiza kipato kupitia habari endelea maana ni kazi yako lakini kama huna unachopata zaidi ya kupoteza wakati, nguvu na fedha zako ni bora uzitumie leo …

Nguvu Za Ajabu Zinapatikana Kwa Njia Hii

Binadamu tunayo nguvu ya kufanya vitu vya kushangaza sana lakini hii nguvu tuliyonayo ndani yetu huwa hata hatuitumii vile ipasavyo. Ili uweze kutumia nguvu za ajabu zilipo ndani yako unapaswa kuwa na kitu hiki kimoja ambacho ukiwa nacho utafanya yasiyowezekana hata kama watu wanaona hayawezekani. Tunaweza kuwa na nguvu ya ajabu ndani yetu kama tukiwa …

Jinsi Ya Kutokichosha Kichwa Chako Kufanya Kazi

Vichwa vyetu vina mambo mengi kwani karibu kila kitu huwa tuanza na kufikiri kwanza kwa kichwa.Hebu fikiria tokea umezaliwa mpaka leo huoni kama kichwa chako kinabeba mambo mengi sana?Vipi kama leo ukiamua kukisaida baadhi ya mambo? Nafikiri kitapumua kama siyo kupumzika. Kisaidie kichwa chako kutokuchoka kufanya kazi maana kichwa chako kina mambo mengi hivyo kisaidie. …

Huyu Ndiye Mtu Ambaye Hawezi Kufukuzwa Kazi

Kwa kutumia akili ya kawaida wewe unafikiri mtu ambaye hawezi kufukuzwa kazi ni mtu wa namna gani? Mtu ambaye hawezi kufukuzwa kazi ni yule mtu ambaye ana thamani. Kama mtu anazalisha na kukupa faida huwezi kumfukuza kazi lakini kama hana thamani anayozalisha lazima utamuondoa. Unalipwa kadiri ya thamani unayoitoa sokoni. Kwa mfano, mchezaji mpira mwenye …

Pigania Kila Siku Kupata Utajiri Huu

Uko utajiri ambao ni zaidi hata ya fedha, mali tunazozitafuta kila siku. Siyo kwamba fedha au utajiri siyo muhimu lahasha utajiri na fedha ni muhimu sana katika maisha yetu. Ukiwa na fedha au utajiri utaweza kulipa bili mbalimbali lakini umasikini haulipi bili hata siku moja zaidi ya kukuongezea msongo wa mawazo. Usiache kuweka juhudi kuhakikisha …

Kama Ulikuwa Na Hii Nadharia Ifute

Jamii tunazoishi zimekuwa na mitazamo hasi sana kiasi kwamba kama utakua uko kwenye mkumbo huu wa kuwa katika kundi la watu wenye mtazamo hasi ni rahisi kuumizwa. Kuna nadharia moja ya wazazi ambayo wanayo, ambayo inawalemaza sana wazazi na kushindwa kujituma sasa. Nadharia hiyo ni ile ambayo wazazi wanazaa watoto huku wakiwa na matumaini makubwa …

Kabla Hujanunua Kitu Kwa Mtu Jiulize Swali Hili

Ni kawaida ya watu wengi kupenda kununua vitu rahisi tena sehemu ambazo siyo sahihi. Watu wamezoea kuuziana vitu kienyeji na kununua vitu kwa hisia bila kufikiri kwanza. Leo naomba uwe makini sana kwenye hivi vitu vya kununua mikononi mwa watu.Kabla hujanunua kitu kwa mtu, yaani sehemu ambayo siyo rasmi, labda unanua simu kwa mtu jiulize …

Design a site like this with WordPress.com
Get started