Kila binadamu ana malengo yake, na furaha kubwa ya mtu ni pale anapoona lengo aliloweka amefanikiwa na hili ndiyo hitaji la watu wengi kwenye malengo, kuwa na malengo ni sawa na kuwa na shamba, haitoshi kuwa na shamba tu ndiyo utaweza kuvuna mazao, bali utahitaji maandalizi ya shamba, kupanda, kufanya palizi mbalimbali na hatimaye kuvuna. …
Continue reading “Haya Ndiyo Malengo Ambayo Hupaswi Kuwa Nayo”