Huwa tunajiona wajanja kwa mafanikio ambayo tunayo na tunasahau kuwa siyo kila mafanikio makubwa ambayo tunayo huwa ni kwa sababu ya juhudi tu hapana. Kama ingekuwa katika maisha ni kuweka kazi tu na juhudi mbona wengine hawafanikiwi? Inakuwaje wengine mnakua mnafanya kitu sawa lakini wanaofanikiwa ni wachache?Chukulia mfano, wanaochimba madini ni wengi lakini siyo wote …
Continue reading “Kitu Hiki Nacho Kinahusika Katika Safari Ya Mafanikio”