Kama unataka usipate kile usichotaka usikifikirie kitu hiko badala yake fikiria kile unachotaka. Siku zote ukifikiria kile usichotaka ndiyo unakipata. Kwa mfano, kama una madeni usifikirie madeni badala yake fikiria namna ya kupata fedha zaidi. Akili ya kutekeleza yaani subconscious mind huwa haina utambuzi hivyo chochote kile kinachokuja akilini kinatekeleza bila kujua ni sahihi au …
Continue reading “Tumia Mbinu Hii Kama Hutaki Kupata Kile Usichotaka”