Ukitaka kuwa mtu wa ushawishi sehemu yoyote ile pendelea kuwa mtu wa kujifunza watu wanataka nini. Wape kile wanachotaka na wewe utapewa kile unachotaka. Huwezi kuwashawishi watu kama wewe ni mtu wa kujali mambo yako na kusahau mambo ya wengine. Kama ni msomaji wa kitabu jitahidi usome kitabu cha how to win friends and influence …
Continue reading “Kabla Hujakutana Na Mtu Jifunze Mambo Haya Muhimu”