Jambo Linaloleta Mpasuko Katika Familia

Habari ya wakati huu mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini u buheri wa afya rafiki yangu na mpendwa msomaji wa mtandao huu. Napenda kutumia nafasi hii kukukaribisha tena katika makala yetu ya leo ili tuweze kujifunza wote kwa pamoja. Katika makala yetu ya leo tutakwenda kujifunza kitu kinacholeta mpasuko wa kifamilia …

Mambo Muhimu Unayoweza Kujifunza Kutoka Katika Kitabu Cha Emotional intelligence works

Habari mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa uko salama na umeianza Siku yako kwa mtazamo chanya. Leo ni siku ya kipekee sana kwetu hivyo tunamshukuru Mungu kwa zawadi ya siku hii ya leo kwa kuweza kutustahilisha kuvuta pumzi yake leo. Napenda kutumia nafasi kukualika katika makala yetu ya …

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kugusa Maisha Ya Watu Wengine Hapa Duniani

Habari ya wakati huu mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni imani yangu kuwa uko salama rafiki na huku ukiendelea na kupambana na maisha. Endelea kupambana rafiki ili uweze kupata kile unachokitaka hapa duniani. Hata kama unakumbana na changamoto kiasi gani usikate tamaa kwani maisha ni kama shule na changamoto ndio mitihiani …

Muhimu; Usiache Kusoma Hapa Kama Bado Hujajua Kiu Yako Ni Nini

Habari ya wakati huu mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa uko salama na unaendelea kutimiza kusudi la maisha yako hapa duniani. Leo ni siku bora sana nay a kipekee kwetu hivyo tunapaswa kuitumia vizuri siku yetu ya leo kwa kujibidiisha katika yale mambo chanya na siyo hasi. Mpendwa …

Mtu Muhimu Wa Kuongea Naye Kama Hujui Wapi Pakuanzia

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo nakusihi uitumie vizuri sana siku yako ya leo. Napenda kutumia nafasi hii kukualika tena katika makala yetu ya leo ili tuweze kujifunza wote kwa pamoja  …

Kitu Ambacho Huwezi Kukikwepa Katika Shughuli Zako Za Kila Siku

Habari mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa uko salama na unaendelea vizuri katika shughuli zako za kila siku. Leo ni siku nyingine ya kipekee sana kwetu hivyo tunapaswa tuutumie vizuri muda wetu wa leo katika kuzalisha mambo chanya. BONYEZA HAPA Kupata Kitabu cha kujisomea. Mpendwa msomaji,napenda kutumia nafasi …

Njia Rahisi Ya Kupata Uzoefu Kwenye Jambo Lolote lile

Habari mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa uko salama na umeianza siku yako katika hali ya mtazamo chanya na furaha. Rafiki hongera pia kwa zawadi ya siku hii ya leo hivyo tunaalikwa sisi sote  tuweze kuitumia vizuri siku yetu ya leo. Mpendwa rafiki jitahidi kila siku kulisha ubongo …

Hiki Ndicho Kinachowamaliza Watu Wengi

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa umekuwa na siku bora sana rafiki na pole kama siku yako ya leo haikuenda vema. Jifunze kupitia changamoto unazokutana nazo kila siku badala ya kulaumu na kulalamika. Ndugu msomaji, napenda kutumia nafasi hii ya leo kukualika tena katika makala …

Mambo Muhimu Unayoweza Kujifunza Kutoka Katika Kitabu Cha You Were Born Rich

Habari mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa uko vizuri na umeianza siku yako kwa hamasa ya kwenda kufanya makubwa siku hii ya leo. Leo ni zawadi ya kipekee sana kwetu hivyo tunaalikwa sisi sote kuweza kuutumia vizuri muda wetu. Bonyeza hapa kujiunga na mtandao huu rafiki yangu. Hivyo …

Hii Ndiyo Pesa Ambayo Hutakiwi Kuwa Na Mipango Nayo

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni imani ya kuwa uko salama huku ukiendelea kupambana katika shughuli zako za kila siku kuhakikisha mambo yako yanakwenda sawa. Rafiki nashukuru kwa kuendelea kuwa pamoja nami kupitia mtandao huu wa Kessy Deo. Wewe ndio unanisukuma kila siku kuandika hivyo basi, mpendwa msomaji …

Design a site like this with WordPress.com
Get started