Hawa Ndiyo Viumbe Wanaofanya Mambo Ya ajabu Na Kwenda Kinyume Kabisa Na Sheria Ya Asili

Miongoni mwa viumbe vilivyobarikiwa na Mungu hapa duniani basi ni binadamu. Binadamu amepewa upekee wake wa kuwa na akili na utashi wa kutambua mazuri na mabaya. Lakini binadamu huyo huyo ndiyo amekuwa anafanya mambo kinyume kabisa na sheria ya asili ya dunia licha ya kupewa akili ya utambuzi wa mambo. Badala ya wanyama wafanye mambo …

Jinsi Ya Kujihamasisha Wewe Mwenyewe

Rafiki, Hakuna kitu kizuri kama hamasa katika maisha yetu ya kila siku. Watu wanafanya kazi za aina mbalimbali lakini inafikia mahali unakuwa umeishiwa hamasa na kazi unayofanya. Na kwa kawaida huwa tuna hamasa za aina mbili yaani hamasa ya ndani na hamasa ya nje( intrinsic motivation & extrinsic motivation) Hamasa ya ndani ni ile hamasa …

Kosa Kubwa Wanalofanya Watu Wengi Pale Wanapokutana Na Changamoto

Ni siku nyingine mpya, bora na ya kipekee sana kwako na hongera kwa zawadi nzuri sana ya siku hii ya leo. Kama umeamka salama basi ni alama ya kwanza kudhihirisha kuwa wewe ni mshindi na umezaliwa kushinda. Kama unaishi na unaendelea kuvuta pumzi basi kitu ambacho huwezi kukiweka kwenye maisha yako ni changamoto. Sehemu pekee …

Shukuru Kwa Kila Jambo Lakini Siyo Kwa Jambo Hili Hapa

Habari za leo rafiki? Hongera kwa zawadi nzuri ya siku hii ya leo. Tunaalikwa kushukuru kwa kila jambo hapa duniani. Liwe zuri au baya lakini watu wanatumia vibaya usemi huu. Kwa mfano, mtu ni mwizi naye atasema anashukuru kwa kila jambo? Wizi siyo kitu kizuri hivyo huwezi kusimama mbele ya kadamnasi na kusema kuwa unashukuru …

Watu Wenye Upendo Wa Kweli Kuliko Watu Wote Duniani

  Rafiki, kama kuna kitu kinachofanya watu waendelee kuishi duniani basi ni upendo. Bila upendo dunia ingekuwa mahali pabaya sana kuishi mimi pamoja na wewe, lakini upendo unatufanya tuendelee kuishi wote kwa sababu upendo huvumilia yote wala hauhesabu mabaya. Upendo ndiyo falsafa kubwa kuliko zote, wewe hata kama umeshindwa kushika amri zote lakini ukishika amri …

Badili Kitu Hiki Tu, Na Matatizo Yako Yatapungua

Mpendwa rafiki, Watu wengi wamekuwa wanapenda sana mabadiliko lakini hawataki kuyaishi mabadiliko. Kwa mfano, mtu ana matatizo ya uzito wa kupitiliza hivyo anataka apunguze uzito wakati maisha yake ya kimazoea yaendelee kubaki vile vile. Yaani kama ni ulaji wa vyakula vya hovyo, kutofanya mazoezi na mengine mengi. Wengine wanapenda kupata mafanikio ya kitu fulani lakini …

Jali Sana Kitu Hiki Katika Safari Yako Ya Kutafuta Mafanikio

Mpendwa rafiki; Moja vitu ambavyo ukivikosa katika safari ya maisha yako basi maisha yako yatakua magumu sana. Kama kweli unahitaji kufika mbali basi kitu ambacho na kwenda kukuelezea leo ndiyo kitu unachotakiwa kuwa makini nacho kuliko vitu vingine vyote. Kama unataka mwaka huu maisha yako yaende vizuri mipango na malengo uliyopanga iende vizuri fuata hiki …

Kama umeweka Mipango Na Malengo Yoyote Mwaka Huu Usiache Kusoma Hapa

Habari ya leo rafiki? Leo ni siku ya tatu ya mwezi wa kwanza, kama kuna kitu ulianza kufanya kila siku tokea mwaka huu uanze na bado unaendelea kufanya basi endelea kila siku na msimamo huo huo baada ya mwezi huu wa kwanza kitu hicho kitakuwa ni tabia kwako. Kwa mfano, unataka nidhamu ya kujijengea kuamka …

Kauli Mbaya Ya Kuepuka Kujiambia Mwaka 2018

Rafiki, leo ni ukurasa mpya kabisa wa maisha yetu hivyo ni nafasi nzuri kwetu kuitumia vizuri zawadi tuliyoipata leo. Ukianza kufikiria kwenye uhaba tena mwaka huu wa 2018 tarajia kupokea uhaba kwa sababu hakuna kitu ambacho mtu anakipata tofauti na ile picha aliyojijengea akili mwake. Kile unachokifikiria ndicho unachokuwa kama utafikiria katika ushindi muda mwingi …

Adui Wako Mkubwa Mwaka 2018

Heri ya mwaka mpya 2018 rafiki. Kama unasoma hapa naamini wote tumestahilishwa kuingia mwaka 2018 kwa furaha, amani na mafanikio makubwa ndani ya mwaka huu mpya wa 2018. Mabadiliko makubwa ya mwaka 2018 kwa siku ya leo na zijazo ni tarehe pekee yake. Kwa sababu gani hii ndiyo asili yake kama jua ulilo liona jana …

Design a site like this with WordPress.com
Get started