Heri ya mwaka mpya 2018 rafiki. Kama unasoma hapa naamini wote tumestahilishwa kuingia mwaka 2018 kwa furaha, amani na mafanikio makubwa ndani ya mwaka huu mpya wa 2018. Mabadiliko makubwa ya mwaka 2018 kwa siku ya leo na zijazo ni tarehe pekee yake. Kwa sababu gani hii ndiyo asili yake kama jua ulilo liona jana …
Category Archives: Uncategorized
Maeneo Muhimu Ya Kushukuru Ndani Ya Mwaka 2017
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa KESSY DEO? Ni imani yangu kuwa uko salama ukiwa umejiandaa vizuri kuupokea mwaka mpya wa 2018. Leo ndiyo siku ya mwisho ya mwaka 2017 je umechangua kuacha alama gani leo? Nakushuru rafiki yangu kwa kuwa sehemu ya maisha yangu ndani ya kipindi chote cha mwaka …
Continue reading “Maeneo Muhimu Ya Kushukuru Ndani Ya Mwaka 2017”
Kitu Adimu Kupatikana Katika Maisha Ya Ndoa Ya Siku hizi
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa KESSY DEO? Ni matumaini yangu hujambo na unaendelea vizuri. Natumaini umejianda vema kwa ajili ya kuupokea mwaka 2018 kwa hamasa kubwa. Karibu sana mpendwa rafiki, katika makala yetu ya leo ili tuweze kujifunza wote kwa pamoja yale mazuri niliyoweza kukuandalia siku hii ya leo. Kumbuka …
Continue reading “Kitu Adimu Kupatikana Katika Maisha Ya Ndoa Ya Siku hizi”
Hiki Ndiyo Chanzo Kikuu Cha Matatizo Yote Duniani
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni imani yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Karibu sana rafiki yangu katika makala yetu ya leo ili tuweze kujifunza wote kwa pamoja. Hivyo basi, nakusihi sana tusafiri pamoja hadi tamati ya kipindi chetu cha leo. Dunia inateswa na kitu kimoja kwa sasa. …
Continue reading “Hiki Ndiyo Chanzo Kikuu Cha Matatizo Yote Duniani”
Ukiacha Kufanya Kazi Hii Umechagua Kupata Hasara Katika Maisha Yako.
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni imani yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana kwa zawadi nzuri ya leo ya kuendelea kuvuta pumzi kwani ni wengi walitamani lakini wewe umependelewa zaidi. Karibu sana rafiki katika makala yetu ya leo ili tuweze kujifunza zaidi. Hivyo basi, nakusihi sana …
Continue reading “Ukiacha Kufanya Kazi Hii Umechagua Kupata Hasara Katika Maisha Yako.”
Chochote Unachofanya Fanya Namna hii
Habari ya leo rafiki na msomaji mtandao wa Kessy Deo? Ni Imani yangu kuwa uko vizuri sana. Hongera sana kwa zawadi ya maisha uliyostahilishwa kuipata tena siku hii ya leo. Rafiki, karibu sana tuweze kusafiri kwa pamoja hadi pale tamati ya kipindi chetu cha leo. Kitu chochote kikizidi ni sumu. Kwahiyo, kwenye kila kitu kuna …
Njia Bora Ya Kupata Zaidi Katika Kitu Chochote Kile
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni Imani yangu kuwa hujambo na umeamka salama. Hongera kwa zawadi ya maisha hivyo ni vema ukaitumie siku kwa manufaa chanya na siyo hasi. Rafiki, napenda kukualika tena katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza wote kwa pamoja kile nilichokuandalia. Kwa namna ya …
Continue reading “Njia Bora Ya Kupata Zaidi Katika Kitu Chochote Kile”
Maeneo Muhimu sana Ya kuzaliwa Upya Katika Maisha Yako
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni Imani yangu kuwa umeamka salama na uko vizuri kabisa, pole sana rafiki kama haupo vizuri Katika siku hii ya leo lakini shukuru tu hata kwa zawadi ya kustahilishwa kuwa hai leo. Kwa namna ya kipekee kabisa, napenda kutumia nafasi hii kuwatakia ndugu …
Continue reading “Maeneo Muhimu sana Ya kuzaliwa Upya Katika Maisha Yako”
Jinsi Ya Kugundua Wapi Fedha Zako Zinaenda
Habari ya leo rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni imani yangu kuwa hujambo na umeamka salama. Hongera sana kwa zawadi nzuri ya siku hii ya leo ya kuamka salama. Leo ni siku bora na ya kipekee sana kwako hivyo jiandae kiakili kuwa na siku bora sana. Karibu sana rafiki katika makala yetu …
Continue reading “Jinsi Ya Kugundua Wapi Fedha Zako Zinaenda”
Njia Nzuri Ya Kugundua Fedha Zako Zinaenda Wapi
Habari ya leo rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni imani yangu kuwa hujambo na umeamka salama. Hongera sana kwa zawadi nzuri ya siku hii ya leo ya kuamka salama. Leo ni siku bora na ya kipekee sana kwako hivyo jiandae kiakili kuwa na siku bora sana. Karibu sana rafiki katika makala yetu …
Continue reading “Njia Nzuri Ya Kugundua Fedha Zako Zinaenda Wapi”