Kila unapoamka, amka ukiwa na hamasa kubwa sana kwamba wewe ni mkombozi kupitia kile unachofanya, unapaswa uende ukakifanye, ili ukoe watu.Dunia inakusubiria wewe mkombozi kupitia kile unachofanya.Kwa chochote kile unachofanya, jua unafanya siyo tu kwa sababu yako wewe mwenyewe, bali kwa sababu ya wengine. Wewe ni mkombozi, watu wanakutegemea wewe ili maisha yao yaende. Usijichukulie …
Jinsi Ya Kuongeza Kipato Chako Mara Mbili
Rafiki,Chukua wastani wa kipato cha watu watano unaokaa nao muda mrefu na utapata kipato chako. Asilimia tisini ya mafanikio yako yanaamuliwa na watu unaokaa nao muda mrefu. Unajua ni kwa nini? Kwa sababu watu wenye mafanikio wanafikiri tofauti na watu wasiofanikiwa na wewe unafikiri kama wale wanaokuzunguka wanavyofikiri. Kama unataka kuongeza kipato chako mara mbili, …
Continue reading "Jinsi Ya Kuongeza Kipato Chako Mara Mbili"
Jifunze Namna Ya Kuishi Vizuri Zaidi
Mwanafalsa wa Ustoa Epictetus aliwahi kunukuliwa akisema,“Maisha ni sanaa ya kuishi, kila unavyoishi ndivyo unavyojifunza kuishi vizuri zaidi.” Hii ina maana kwamba, kila siku unapaswa kuwa na siku bora zaidi ya jana. Yaani siku zako mbili zisifanane kabisa.Kwa mfano, kila siku jioni kabla hujalala, pata muda wa kuitafakari siku yako. Kisha siku inayofuata unakwenda kuishi …
Athari Za Kutoeleweka Sehemu Moja
Jinsi unavyokuwa kwenye jambo fulani, ndivyo utakavyokuwa hata kwenye maeneo mengine. Kama unaonekana chenga sehemu hata sehemu watu watakuona chenga pia.Kwa namna unavyofanya vizuri kwenye kitu kimoja, hata maeneo mengine utafanya vizuri. Kwa sababu mazoea ya kufanya vizuri sehemu moja, yatasababisha kuathiri maeneo mengine. Hata watu wanakupima, kama wanakuona uko vizuri sehemu, wanaamini hata maeneo …
Jifunze Kujitofautisha
Kama unataka kuwa bora na kupata ushindi kwenye kila eneo la maisha yako, basi jifunze kujitofautisha na wengine. Huwezi ukapata matokeo mazuri kama wewe unafanya mambo yako kikawaida tu.Kujitofautisha kwa mtu, ndiyo kuna upekee wa mtu.Wanaofanya kile unachofanya wewe wako wengi, ili ulete upekee, lazima kwanza uwe tofauti. Mafanikio yako kwenye upekee, kuwa na upekee …
Kuwa Makini Na Mwonekano Wa Nje
Huwa tunadanganyika sana na mwonekano wa nje. Pale tunapoona mwonekano wa mtu wa nje au kazi anayofanya tunaweza kuhitimisha kwamba mtu huyo ni tajiri au ana hela.Utajiri ni kile kisichoonekana. Mtu anaweza kuwa na mali nyingi inayoonekana kama vile nyumba, mashamba na nk, lakini utashangaa mtu huyo huyo katika hali ya kawaida hana hela taslimu.Usidanganyike …
Jinsi Ya Kujua Dalili Za Mtu Kutaka Kukuumiza
Watu wanaotaka kunufaika dhidi ya wengine hufanya mambo kuonekana magumu. Watu wanapotaka kunufaika dhidi ya wengine, pale wanapotaka kutengeneza mfumo ambao unawanufaisha wao na kuwanyonya wengine, hufanya mambo ambayo ni rahisi kabisa kuonekana magumu. Kitu ambacho hata hakiitaji ukiritimba, utashangaa vile mtu anavyofanya mambo kuwa magumu.Anatengeneza ugumu wa kazi ili atumie nafasi hiyo kutengeneza mazingira …
Continue reading "Jinsi Ya Kujua Dalili Za Mtu Kutaka Kukuumiza"
Usijisahau Wewe Mwenyewe
Ni kawaida ya watu wengi kufanya kazi na kuwasaidia watu wengine lakini wao wenyewe hawajisaidii.Hii siyo nzuri, pale unapofanya kazi mtu wa kwanza kumkumbuka unapaswa kuwa wewe mwenyewe.Unapata hela, unawalipa watu wengine, lakini unajisahau hata kujilipa wewe mwenyewe. Watu watafurahia vile unavyowapa sasa lakini baadaye utakapokua huna nguvu za kufanya kazi hawatakukumbuka kama vile unavyowafanyia …
Njia Hii Inafanya Kazi
Rafiki, Watu wanapenda namba lakini hawapendi hesabu. Watu wanapenda matunda ya kazi yaani fedha lakini hawataki mchakato wa kazi. Habari njema ni kwamba, kwa mtu yeyote anayefanya kazi na kama kitu anakitaka kwenye maisha yake, lazima akipate kweli. Hii ni kwa sababu, inafanya kazi kama ukiifanyia kazi. Hakuna kitu ambacho hakifanyi kazi kama ukikifanyia kazi. …
Demokrasia Itakuchelewesha
Kama unataka mafanikio kwenye maisha yako binafsi, basi unapaswa kuondokana na demokrasia kwa sababu itakuchelewesha kwenye mambo yako mengi.Hata mwili wako binafsi ukiupeleka kwa demokrasia hauwezi kwenda. Yaani ukiusikikiliza sana mwili wako, huenda hata usikamilishe kile unachotaka kwenye maisha yako. Ili ufanikiwe, hutaki hiyari na maridhiano na kuweka demokrasia kwenye kila jambo, bali unahitaji kuwa …