Ukikimbiza sungura wawili, hutampata hata mmoja.Hii ina maana kwamba, ukifokasi na mambo mengi, huwezi kukamilisha hata moja kwa ubora. Ukijua wapi unakwenda, huwezi kupotea njia. Kwenye maisha, ukiwa unajua nini unataka, lazima utakipata. Jua unachotaka, kisha watafute watu ambao wameshafika kule unakotaka kufika au wenye ndoto kama wewe na wanapambana kwenda kule unakotaka kufika. Ukishakuwa …
Continue reading "Ukiwa Na Vitu Hivi Viwili, Mafanikio Kwako Ni Lazima"