Habari ya wakati huu mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini uko vizuri na unaendelea vizuri kuboresha maisha yako na hongera sana kwa siku hii ya leo. Leo ni mwisho wa juma hivyo ni vema kutumia siku ya leo rafiki kufanya tathimini ya juma zima mambo yako yalikwendaje na kupanga mpango kazi …
Mambo Muhimu Niliyojifunza Katika Kitabu Cha 10- Minutes Toughness
Habari Mpendwa Rafiki na Msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu uko vizuri na tunamshukuru Mungu kwa zawadi ya siku hii ya leo. Kila siku ni zawadi kutoka kwa Mungu hivyo basi kuwa na shukrani kwa kile ambacho unacho na maisha yako yatakua na furaha kuliko kulalamika. Rafiki, napenda kukualika tena katika makala …
Continue reading "Mambo Muhimu Niliyojifunza Katika Kitabu Cha 10- Minutes Toughness"
Hitaji Muhimu Ambalo Dunia Ya Leo inahitaji Kwa Wingi
Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini uko vizuri rafiki yangu na hongera sana kwa zawadi ya siku hii ya leo hakikisha unatoa thamani yako yote ya leo kwenye kile ambacho unafanya. Hongera pia rafiki yangu kwa kuendelea kuwa pamoja nami kila siku kupitia mtandao huu. Mpendwa msomaji napenda …
Continue reading "Hitaji Muhimu Ambalo Dunia Ya Leo inahitaji Kwa Wingi"
Ifahamu Bidhaa Inayopendwa Kununuliwa Na Watu wengi
Habari ya wakati huu mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa uko buheri wa afya na unaendela vizuri kutimiza wajibu wako kulingana na nafasi yako ya kazi. Ni vizuri rafiki kutimiza wajibu wako na kuupenda kwani ni rahisi kukwepa lakini ni ngumu kukwepa matokeo yake. Napenda kukualika tena katika …
Continue reading "Ifahamu Bidhaa Inayopendwa Kununuliwa Na Watu wengi"
Mambo Saba (07) Muhimu Niliyojifunza Kutoka Kwa Donald Trump
Habari ya wakati huu mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu hujambo na unaendelea vizuri kutimiza wajibu wako. Napenda kukualika katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza kwa pamoja mambo mazuri niliyokuandalia siku hii ya leo. Mpendwa rafiki, leo nitakushirikisha mambo muhimu niliyojifunza kupitia Donald Trump. Kwanza kabisa, hivi karibuni …
Continue reading "Mambo Saba (07) Muhimu Niliyojifunza Kutoka Kwa Donald Trump"
Kiungo Hatari Cha Mwanadamu Kinachoongoza Kuuwa Watu Katika Jamii Zetu
Habari mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini hujambo na unaendelea vizuri kuifanya dunia kuwa sehemu salama kuishi kwa kila mmoja wetu. Rafiki, mimi na wewe ndio tunafanya dunia kuwa sehemu salama au silama kuishi kwa kila mmoja wetu. Hivyo basi, yatupasa tuwe sehemu ya mabadiliko tunayotaka kuyaona katika hii dunia na …
Continue reading "Kiungo Hatari Cha Mwanadamu Kinachoongoza Kuuwa Watu Katika Jamii Zetu"
Ifahamu Nguvu Ya Kusema Hapana Katika Maisha Yako
Habari mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu hujambo na unaendelea vizuri kuhakikisha unapambana na hatimaye kupata kile kilicho bora. Tumia nafasi yako uliyonayo sehemu uliyopo kuleta mabadiliko ya jamii inayokuzunguka. Kuwa sehemu ya mabadiliko unayotaka kuyaona katika maisha yako ndiyo njia bora na ya uhakika ya kufanikiwa. Mpendwa rafiki, …
Continue reading "Ifahamu Nguvu Ya Kusema Hapana Katika Maisha Yako"
Njia Bora Na Ya Kipekee Inayoweza Kuokoa Utajiri Wa Akili Yako
Habari ya wakati huu mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini unaendelea vizuri rafiki yangu na hongera kwa kuwa na mwisho wa juma mzuri ambao ni muda mzuri kwako kupangilia wiki yako ya kesho unataka iendeje. Usianze siku bila kuandika malengo ya siku husika na wiki nzima kwa ujumla. Malengo yanatakiwa yaandikwe …
Continue reading "Njia Bora Na Ya Kipekee Inayoweza Kuokoa Utajiri Wa Akili Yako"
Mambo Muhimu Ya Mahusiano Niliyojifunza Katika Kitabu Cha Happier Marriage
Habari ya wakati huu mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo. Ni matumaini yangu uko vizuri na unaendelea vizuri kupambana katika maisha kuhakikisha unapata kile unachotaka. Usichoke kujifunza kila siku katika maisha yako. Leo nimekuandalia uchambuzi mzuri wa kitabu cha Happier marriage kilichoandikwa na mwandishi William Glasser. Karibu rafiki tujifunze kwa pamoja. Mambo …
Continue reading "Mambo Muhimu Ya Mahusiano Niliyojifunza Katika Kitabu Cha Happier Marriage"
Huu Ndio Umuhimu Wa Kujenga Mahusaino Bora Katika Maisha Yetu
Habari ya wakati huu mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri kuboresha maisha yako. Usikubali kufa na hazina ambayo bado iko ndani yako kuna watu wanahitaji kile ambacho unacho ndani yako. Huu ndio muda wa kutoa kile ambacho unacho kwa manufaa yako mwenyewe na manufaa …
Continue reading "Huu Ndio Umuhimu Wa Kujenga Mahusaino Bora Katika Maisha Yetu"