Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani leo ni siku bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kufanya makubwa na kutarajia kupata matokeo makubwa. Ni kwa nidhamu, uadilifu ,kujituma, kubuni, na bila …
Continue reading "Kanuni Bora Ya Dhahabu Itakayofanya Maisha Yako Kuwa Na Mafaniko Makubwa"