Haya Ndiyo Mafanikio Ya Kwanza Unayopaswa Kuwa Nayo Katika Maisha Yako

Habari mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo?  Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri kuwajibika katika kazi zako za kila siku. Hongera sana rafiki yangu kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani leo ni siku bora sana na ya kipekee kwetu kwenda kuthubutu na kufanya makubwa. Kwahiyo, tunaalikwa kutumia vema …

Faida Tatu(03) Za Kuwahi Eneo La Tukio Mapema

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa uko salama na unaendelea vizuri na hongera sana rafiki kwa zawadi ya maisha hivyo basi, ni vema kutumia muda wako vizuri. Mpendwa msomaji, napenda kutumia nafasi hii kuweza kukualika tena katika makala yetu ya leo ili tuweze kujifunza wote …

Uchambuzi; Mambo Muhimu Unayoweza Kujifunza Kwenye Kitabu Cha Don’t Go Back To School

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu umeamka salama na unaendelea vizuri. Karibu tena katika kona yetu ya uchambuzi wa Kitabu ambapo leo nitakwenda kukushirikisha mambo muhimu niliyojifunza kupitia Kitabu hiki cha Don't Go Back To School. Mambo 20 niliyojifunza katika kitabu cha DON'T GO BACK TO …

Kama Wewe Ni Mfuatiliaji Wa Habari,Basi Usikubali Kupitwa Na Habari Hii Muhimu Kwako

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa uko salama na umeianza siku yako nzuri katika hali ya mtazamo chanya wa kwenda kufanya mambo makubwa na yenye tija kwenye maisha yako. Leo ni siku bora sana na ya kipekee kwetu ,tunamshukuru Mungu kwa kuweza kutustahilisha tena kuiona …

Jambo Muhimu La Kusimamia Kwenye Maisha Yako

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni imani yangu kuwa umeamka salama tena siku hii ya leo. Tunamshukuru Mungu kwa zawadi ya siku hii ya leo hivyo basi leo ni siku bora sana na ya kipekee kwetu kwenda kufanya makubwa kwenye maisha yetu. Tumia vema zawadi ya siku hii …

Muhimu; Kama utaweza Kutawala Kitu Hiki Utakua Umekoa Nafsi Nyingi Za Watu

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea kuboresha maisha yako bila kusahau kugusa na maisha ya watu wengine, leo ni siku bora na ya kipekee kwetu tunakwenda  kufanya makubwa na kutegemea kupata makubwa zaidi. Mpendwa rafiki, tunaalikwa kutumia vema muda wetu wa leo …

Hii Ndiyo Nadharia Ya Mafanikio Yote Unayoyaona Hapa Duniani

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri, leo ni siku bora na ya kipekee sana kwako natumaini umeiazna siku yako kwa hamasa kubwa itakayokuwezesha kutimiza mipango yako uliyojiwekea katika juma hili. Kwahiyo, tunaalikwa kutumia vizuri rasilimali ya muda tuliopewa bure tumia muda …

Uchambuzi; Mambo 20 Ya Kujifunza Kwenye Kitabu Kinachoitwa 15 Secrets Successful People Know about Time Management

Habari ya leo Mpendwa Rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini uko salama Ndugu, na leo ni siku bora sana kwetu na ya kipekee hivyo tunaalikwa kushukuru kwa zawadi ya siku hii ya leo. Ndugu msomaji, leo nitakwenda kukushirikisha uchambuzi wa Kitabu yale muhimu niliyoweza kujifunza kati ya mengi. Karibu katika uchambuzi wetu …

Jambo Muhimu sana La Kujifunza Kutoka Katika Falsafa Ya Ustoa

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa uko salama rafiki yangu. Hongera kwa zawadi ya siku hii ya leo mpendwa msomaji ambapo leo ni siku bora sana kwako na ya kipekee hivyo tegemea kufanya makubwa na kupata makubwa. Shukuru kwa zawadi ya uhai na utendee haki …

Jinsi Ya Kushinda Hofu Na Kutumia Uwezo Wako Kuteka Mafanikio Unayoyataka

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa uko salama na unaendelea vizuri kutimiza kusudi lako hapa duniani. Leo ni siku bora na ya kipekee kwetu kwenda kufanya makubwa na kutegemea kupata makubwa. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo hivyo tunaalikwa sote kutumia …

Design a site like this with WordPress.com
Get started