Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo hivyo basi, unaalikwa kuitumia vizuri zawadi yako ya siku hii ya leo ili uweze kukamilisha ratiba yako ya leo. Mpendwa msomaji, nipende kutumia nafasi hii …
Continue reading "Mbinu Mbadala Ya Kukabiliana Na Changamoto Ya Kupoteza Au Kupotezewa Muda Wako"