Mpendwa rafiki, Watu wengi wamekuwa wanapenda sana mabadiliko lakini hawataki kuyaishi mabadiliko. Kwa mfano, mtu ana matatizo ya uzito wa kupitiliza hivyo anataka apunguze uzito wakati maisha yake ya kimazoea yaendelee kubaki vile vile. Yaani kama ni ulaji wa vyakula vya hovyo, kutofanya mazoezi na mengine mengi. Wengine wanapenda kupata mafanikio ya kitu fulani lakini …
Continue reading "Badili Kitu Hiki Tu, Na Matatizo Yako Yatapungua"