Jinsi Ya Kukabiliana Na Madeni Katika Biashara Na Huduma Nyingine

Habari ya leo rafiki? Hongera kwa zawadi ya maisha ya siku hii ya leo kwani leo ni siku bora nay a kipekee sana kwako. Ni siku mpya ya wiki ukiwa na ngvu za kwenda kufanya makubwa ndani ya wiki hii na siku ya leo. Rafiki, huwa umeshawahi kusikia msemo mmoja unaosema kukopa harusi kulipa matanga. …

Hii Ndiyo Sifa Moja Kuu Ya Mabadiliko Yoyote Yale

Hongera sana rafiki kwa zawadi nzuri sana ya siku ya leo. Leo ni siku bora na ya kipekee sana kwako. Amua kwenda kushinda na siyo kushindwa. Kila siku ni siku mpya na ndiyo siku ya kipekee katika maisha yako kwa sababu leo ndiyo siku ambayo una uhakika nayo kuliko siku zote unazotarajia kuwa nazo. Tunaishi …

Hatua Mbili Unazopitia Katika Maisha Yako,Je unajua Uko Hatua Gani? Soma Uweze Kujua

Habari ya leo mpendwa rafiki? Hongera kwa zawadi nzuri sana ya siku ya leo kwani hii ni ishara kuwa leo ni siku bora kwako na ya ushindi mkubwa kwa sababu kuamka salama nao ni ushindi tosha wa siku kwani siyo wote wameweza kuamka salama leo. Rafiki, hapo mwanzo nilijiwekea utaratibu wa kukushirikisha uchambuzi wa kitu …

Ili Uendelee Kupata Matokeo Bora, Endelea Kufanya Kitu Hiki

Habari ya leo mpendwa rafiki? Ili tuweze kupika vyakula vyetu kila siku tunahitaji tuwe na nishati. Nishati ndiyo inayowezesha moto uweze kuwaka aidha ni jiko la kuni, gesi, mkaa na n.k. Lakini, leo napenda tujifunze kitu muhimu kutoka katika jiko la kuni. Kila mmoja wetu nafikiri analifahamu jiko la kuni kwani ndiyo jiko linalotumiwa na …

Kama Unapitia Changamoto Yoyote Ile Usiache Kusoma Hapa

Unaendeleaje rafiki? Hongera sana kwa zawadi nzuri ya siku hii ya leo. Umepata bahati ya kustahilishwa kuiona siku hii ya leo hivyo hakikisha unaitendea haki siku yako kwani haitokuja kutokea tena. Rafiki, katika maisha yetu sisi hapa duniani tunaishi mara moja tu. Usitegemee utakuja kupata nafasi nyingine ya kuja kuishi. Kama ulikuwa una mipango yako …

Hawa Ndiyo Viumbe Wanaofanya Mambo Ya ajabu Na Kwenda Kinyume Kabisa Na Sheria Ya Asili

Miongoni mwa viumbe vilivyobarikiwa na Mungu hapa duniani basi ni binadamu. Binadamu amepewa upekee wake wa kuwa na akili na utashi wa kutambua mazuri na mabaya. Lakini binadamu huyo huyo ndiyo amekuwa anafanya mambo kinyume kabisa na sheria ya asili ya dunia licha ya kupewa akili ya utambuzi wa mambo. Badala ya wanyama wafanye mambo …

Jinsi Ya Kujihamasisha Wewe Mwenyewe

Rafiki, Hakuna kitu kizuri kama hamasa katika maisha yetu ya kila siku. Watu wanafanya kazi za aina mbalimbali lakini inafikia mahali unakuwa umeishiwa hamasa na kazi unayofanya. Na kwa kawaida huwa tuna hamasa za aina mbili yaani hamasa ya ndani na hamasa ya nje( intrinsic motivation & extrinsic motivation) Hamasa ya ndani ni ile hamasa …

Kosa Kubwa Wanalofanya Watu Wengi Pale Wanapokutana Na Changamoto

Ni siku nyingine mpya, bora na ya kipekee sana kwako na hongera kwa zawadi nzuri sana ya siku hii ya leo. Kama umeamka salama basi ni alama ya kwanza kudhihirisha kuwa wewe ni mshindi na umezaliwa kushinda. Kama unaishi na unaendelea kuvuta pumzi basi kitu ambacho huwezi kukiweka kwenye maisha yako ni changamoto. Sehemu pekee …

Shukuru Kwa Kila Jambo Lakini Siyo Kwa Jambo Hili Hapa

Habari za leo rafiki? Hongera kwa zawadi nzuri ya siku hii ya leo. Tunaalikwa kushukuru kwa kila jambo hapa duniani. Liwe zuri au baya lakini watu wanatumia vibaya usemi huu. Kwa mfano, mtu ni mwizi naye atasema anashukuru kwa kila jambo? Wizi siyo kitu kizuri hivyo huwezi kusimama mbele ya kadamnasi na kusema kuwa unashukuru …

Watu Wenye Upendo Wa Kweli Kuliko Watu Wote Duniani

  Rafiki, kama kuna kitu kinachofanya watu waendelee kuishi duniani basi ni upendo. Bila upendo dunia ingekuwa mahali pabaya sana kuishi mimi pamoja na wewe, lakini upendo unatufanya tuendelee kuishi wote kwa sababu upendo huvumilia yote wala hauhesabu mabaya. Upendo ndiyo falsafa kubwa kuliko zote, wewe hata kama umeshindwa kushika amri zote lakini ukishika amri …

Design a site like this with WordPress.com
Get started