Watu wanaopata shida hapa duniani ni wale wanaokimbia matatizo yao. Watu wanakimbia matatizo yao badala ya kuyatatua , wanahangaika huku na huko kumtafuta nabii wa ukweli huku wakisahahu kuwa nabii wa ukweli ni yeye mwenyewe. Mbaya zaidi watu wanaopata shida sana katika jamii yetu siku hizi ni wale wanaosema uongo. Ukisema uongo unatakiwa uwe unakumbuka …
Continue reading "Ufahamu Mradi Pekee Ambao Haujawahi Kutokea Hapa Duniani"